rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Nachukua nafasi kuwapongeza ma Dr. wote wanaofanya kazi Tanzania kwa sababu nyingi lakini kati ya hizo ni
1.Kufanya kazi kwenye mazingira magumu bila vifaa vya kutosha,mishahara isiyo waridhisha.
2.Kuwahudumia wagonjwa wengi kwa siku.
3.Mazingira ya kuwahudumia wagonjwa wenye magonjwa mengi yakiwa hatarishi.
4.Kutopewa shukurani na wagonjwa wanaopona.
5.Kutukanwa na wagonjwa.
6.Kudharauliwa na baadhi ya wenye pesa na kwenda kutibiwa nje hata kwa magonjwa mnayoyaweza lakini wakipata emergency wanarudi kwenu!
7.Kukubali kuwafikia wagonjwa mpaka vijijini na sehemu ambazo zinakalika !
Hongera.Hongera.Hongera.Hongera.Hongera.
:clap2: