HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
Habarini,
Hivi karibuni nilileta hoja ya hospitali nyingi za serikali kuwaandikia dawa wagonjwa na kuwataka walipie dozi nzima na wakishalipia ndani ya muda mfupi wanabadilisha dawa na kuwataka walipie tena dozi nzima kitu ambacho huwatia hasara kubwa wagonjwa na badae kuondoka na mafurushi ya dawa zilizobaki.
Tofauti na hospitali nyingine za serikali hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wamekuwa na utaratibu mzuri ambapo mgonjwa hulipia dawa alizoandikiwa kwa kila siku na inapotokea kabadirishiwa dawa basi anakuwa hajapata hasara yoyote.
Huu ni mfumo mzuri unaopaswa kuigwa na kufuatwa na hospitali nyingine zote za serikali na binafsi.
Naomba kuwasilisha.