Chama chochote cha siasa kimesajiliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ,sharti mojawapo ni demokrasia ndani vyama hivyo sasa unaposema Chadema wamechakachua katiba ili mheshimiwa Mbowe aendelee kubaki madarakani huo ni uongo na upotoshaji.Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wazi unaweza kwenda kutoa taarifa huko hatua zikachukuliwa ila unapotoa shutuma hapa mtandaoni tunakuona kama mjinga tu.