Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,175
Reaction score
829,132
Nilikuwa Mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CHADEMA, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa.

Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital.

Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia.

Misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU.

VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES.
 
mbona wale wahanga na wajane wa mabomu soweto arusha wamewatelekeza?
 
Nilikuwa mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CDM, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa
Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital
Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia...misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU

VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!
chadema ndio chama pekee chenye uzalendo nchini
 
Wale wa Kijani wao kwa sasa ni kuwa laghai vijana na akinamama.Wanatumia akinamama kwa njia za kuwapa kifedha kwa Kupitia Vikoba ,Vijana wao wanakusanywa kupitia Michezo kwa Afya lakini mpago ulioko nyuma ya pazia ni kinyume na kinacholengwa.

UKAWA na CDM kaeni chongo pelekeni mashushu kwenye haya makundi Kurugenzi ya Habari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom