Hongereni Chadema

Wana JF yaani nilivyoona thread nikesema ngoja nione mwiba kasema lakini mpaka mwisho sikuamini! Sijui kimetokea nini kwake ila yeye na Mungu wake ndiyo wanajua.
 
Mimi mbali ya kushangaa nimejikuta nitwanga Tx pale! Kwani siyo mbaya, tuamini kuwa hiyo ndiyo kazi tuliyo nayo. Na kwa kuwa sisi wapenda mabadiliko (japokuwa si lazima tue wanachama wa CDM) tunajali zaidi maswala ya Taifa zima, tusisite hata mara moja kumpokea aliyerudi kujiunga na Taifa lake mwenyewe kutafuta maendeleo. Asante Mwiba! kidogo nikuombe ubadilishe na jina.
 
Hongera Mwiba! the truth as set you free, Maggid Mjengwa naye nikigeugeu tu he loves CDM very much but he was bought by CCM during the campaign 2010 to kill CDM this what i know.
 
mkuu mwiba... umepata thanks ngapi... kumbuka kwamba ukileta pumba waliokupa thanks watazitwaa tena na ku un-thank
 
Kama ni kupewa nyota tano basi Chadema wapo katika mstari wa kuweza kutunukiwa Nyota hizo tano na kuwa 5Star political party katika Taifa hili la Tanzania.

Hii ni kutokana na kufanikiwa kwa kiasi fulani kuweza kuikeep bize CCM na serikali yake na kuwafanya watawala tulionao kubabaika na kutojua pa kushika ,silaha hii ya Chadema ndiyo silaha haswa inayotakiwa kutumika katika kuisambaratisha CCM na utawala wake.

Katika muhula huu wa lala salama kwa CCM na wadhamini wake (aka mafisadi) ,tokea ulipomaliza uchaguzi mkuu Chadema awamefanikiwa kumkurupusha Kikwete na Chama chake kutokana na matokeo ya uchaguzi hili halijamalizika tayari wamekurupusha kwenye mambo ya Umeya wakati mapambano yakiendelea kwenye umeya ,Chadema wamepalilia na kulimia kwenye mambo ya kudai Katiba Mpya ,halikadhalika kwenye mdundo wa malipo ya Dowans huko nako kunafuka moshi,nategemea kuitishwa maandamano ya nchi nzima kupinga hatua iliyochukuliwa ya kulipa deni hewa la dowans.

Chadema ni lazima waendelee na safari hii isiwe mwendo mdundo maana jamaa watakuja kupinda kushoto ,iwawache Chadema wakiongoza njia tu,kumbe watu weshakula kona.

Mbinu hii ya kuikeep busy CCM na serikali yake ndio itakayowachanganya CCM na wadhamini wao wachanganyikiwe kila mmoja awe hamjui mwenziwe na kila mmoja ajione mzigo wake ni mzito hakuna nafasi ya kusaidiana.maombi ya maandamano na mikutano yaenee nchi nzima kusiwe na kulala tena.

Nani kakuibia password tena?
 
Karibu sana Mwiba.......lakini kama huta kasirika tupe siri kidogo nini kimekukimbiza huko uliko kuwa......au walikuwa wanakutumia kwa mkopo na umegundua deni limesha kuwa kubwa na hakuna dalili za malipo........kwa hiyo ume amua kuwa kama noma na iwe noma.Maana unanikumbusha mambo yaliyo mtokea Christopher Mtikila kule Mara alitumikia CCM kwa mkopo mpaka akagogwa jiwe lakichwa.............Lakini alipo ona malipo hayafanyiki na uchaguzi ndio huoooo!!! akawachanjia na kuanza kusema ukweli.

Wakati mwingine hii nisafi sana, mkidhurumiwa na ccm mtajua kwa nini watu hawaipendi................
 
Nani kakuibia password tena?

Hajaibiwa mtu kineno siri ,ila uungwana wa Chadema na mbinu ndio kitu cha kutiliwa mkazo kiendelee,unajua hesabu za Chadema ikiwa kupangwa basi zimepangika na hili ni lazima wazalendo tuliseme ,pengine Chadema wameokotea tu si katika mipango endelezi,hivyo kwa sisi wapiga debe huenda wakuu wakatusikia au wakaelewa maana ya kukeepbize walioko madarakani.
 
Oh, Mwiba, finally umevua miwani mbao, karibu sana katika ulimwengu wa waonao!
Yah, mnyonge mnyongeni lakini hake yake mpeni, asante kwa kuliona hilo, CHADEMA imetusaidia sana.. na hakika inabidi wasilegeze uzi.
 
mi nilijua tu ipo siku atakubaliana na ukweli baada ya kusoma opinions za majority voice!!
Mwiba,mzee ndesa alisema moto mkali huu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom