Hongereni BAVICHA kwa Mkazo wenu Mzumbe

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Kwa habari niliyoiona ITV ambapo mwenyekiti wa BAVICHA taifa na Katibu mkuu wa baraza hilo wakichagizwa na Mh. John Mnyika na Tundu Lisu kwa kuendelea kujiimarisha Chuo kikuu cha Mzumbe, nalazimika kuwapongeza viongozi hawa.

Kama nilivyoona, katibu wa BAVICHA amedai kiburi cha serikali juu ya mgomo wa madaktari nchini ni matokeo ya kukosekana kwa Uadilifu, uzalendo wa viongozi weu huku Mnyika akitaka rasilimali za taifa zitumike ipasavyo kuondoa matatizo kama hayo

Yaani wewe umepinda kisawasawa. Unataka ID healthy! Ishu ni mada au ID? Una la ziadi ya ID au ndo umeishia hapo?

Wewe Mshenzi.
Matusi hayatakiwi JF,na wewe ni Mshenzi.
Mshenzi ni tusi,so badili jina,...with all due respect Mshenzi.
 
wewe mshenzi, lazima utakuwa mshenzi, we mshenzi, peleka ushenzi wako fb, NATOA WITO, msichangie mada zozote atakazoanzisha huyu mkosa adabu kwa id hii ya kishenzi.
 
wewe mshenzi, lazima utakuwa mshenzi, we mshenzi, peleka ushenzi wako fb, NATOA WITO, msichangie mada zozote atakazoanzisha huyu mkosa adabu kwa id hii ya kishenzi.
mada hapa ni kuona jinsi Bavicha wanavyofanya kazi sasa Chadema iwape support hawa vijana waende nchi nzima maana utashangaa wanakoswa hata namna ya kwenda kwenye mialiko mbalimbali Bavicha Heche,munishi kaza buti vijana
 
Safi sana makamanda mapambano muda wote mpaka mkoloni mweusi CCM ang'oke madarakani.
 
mods kuna ID zingine sio healthy kabisa kama hii ya mwanzisha thread duuu...

Watu wa na mnahiyo ndiyo wale utakuta anampa mtoto wake jina la matatizo,havintishi,chausíku,we mtu mzima huwezi ukawa na id et mshenzi bwana tafuta nyingine plz.
 
mzumbe ni moja ya vyuo ambavyo havitaki kusikia neno chadema,maana kuna member wa cccm wengi tu,walishawaim zuia trip ya zito miaka iliyopita chuoni hapo,ila naona kwa nguvu ya sasa wanashindwa kuzuia,naona wanaona jinsi chadema inavyopata kasi chuoni hapo,
hongereni
 
Tundu na Mnyika si wabunge hao? sasa Moro walifata nini? au mtoa mada ilimpuruchuka kuweka majina yao.
 
wewe mshenzi, lazima utakuwa mshenzi, we mshenzi, peleka ushenzi wako fb, NATOA WITO, msichangie mada zozote atakazoanzisha huyu mkosa adabu kwa id hii ya kishenzi.

Na we ulie tu. Mie ndo mshenzi na ntabakia kua mshenzi. Kukosa adabu maana yake nini, kupost kuwapongeza BAVICHA kwa kazi zao nzuri waliyoifanya Mzumbe? Nadhani wewe ni magamba kama sio masaburi!
 
Tundu na Mnyika si wabunge hao? sasa Moro walifata nini? au mtoa mada ilimpuruchuka kuweka majina yao.

Barubaru wewe ndo utakua umekurupuka kwa kua hukutafuta taarifa. Ila ukweli ni kwamba Mnyika, Lisu, Silinde na Conchester walikua njiani kuelekea Dodoma ndo wakapita pale kumwaga sumu iliyowakolea vijana wale.
 
Kwani Bunge lenu la muungano limeanza lini?
Na habari hiyo imetoka lini?

Naamini Bavicha wamepata majembe ya uhakika. Tuna imani kubwa sana nawe Mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu Munishi. Mkitoka vyuoni tunawahitaji huku vijijini na mitaani.

Alafu nimesikia Lowasa yuko mbioni kwenda kutuliza kimbunga cha Baicha Mzumbe mwanzoni mwa mwezi ujao. Maana yake ni kwamba sasa magamba hawajui washambulie yupi na nini ndani ya CDM. Magamba mtaisoma namba safari hii!
 
Back
Top Bottom