Hongereni BAVICHA kwa Mkazo wenu Mzumbe

Alafu kama kuna mwenye picha za matukio ya mzumbe atupie hapa basi coz kwa nilichokiona jana kwnye habari inonekana mambo yalikua bam bam. Watu wa mzumbe tafadhali tuwekeeni hapa hizo picha ili tuone ukweli wa mambo ulivyokua
 
wewe mshenzi, lazima utakuwa mshenzi, we mshenzi, peleka ushenzi wako fb, NATOA WITO, msichangie mada zozote atakazoanzisha huyu mkosa adabu kwa id hii ya kishenzi.

Ukimjibu mshenzi kishenzi nawe unaonekana mshenzi.
 
Tundu na Mnyika si wabunge hao? sasa Moro walifata nini? au mtoa mada ilimpuruchuka kuweka majina yao.
wewe ndio umekurupuka kwa sababu mkutano wa mzumbe ulikuwa jumapili wakati bunge halijaanza, makamanda walikuwa safarini kwenda dodoma kwa hiyo walikuwa wanapiga kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom