Mchaga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,377
- 209
Ni mbunge mmoja tu wa upinzani ambaye toka niangalie bunge naona anatueleza ukweli bungeni.
Mkuu mchango wako mzuri ila hapo juu napingana na wewe SI KWELI...
Ni mbunge mmoja tu wa upinzani ambaye toka niangalie bunge naona anatueleza ukweli bungeni.
Sasa wanaolipia leseni za daladala kila mwaka ni za kazi gani kama nayo si kodi? Mkuu, serikali inakusanya pesa nyingi sana (Nadhani si chini ya Trilion 10 kwa mwaka, kama ilivyo kwenye bajeti). Lakini, Serikali mbofumbofu na matumizi mbofumbofu, ndio sababu kuu wananchi kusota!! Chukua Chako Mapema!!!!!
Zitto anatumiwa na CCM kuimaliza Chadema. Kimsing yeye ndiyo chanzo cha migogoro ndani ya Chadema. Ni mbinafsi na mpenda madaraka.
Sasa wanaolipia leseni za daladala kila mwaka ni za kazi gani kama nayo si kodi? Mkuu, serikali inakusanya pesa nyingi sana (Nadhani si chini ya Trilion 10 kwa mwaka, kama ilivyo kwenye bajeti). Lakini, Serikali mbofumbofu na matumizi mbofumbofu, ndio sababu kuu wananchi kusota!! Chukua Chako Mapema!!!!!
Mkuu hizi excuse za kodi ndio moja ya excuse nyingi zinazotuumiza tz. lazima ziondolewe ili watu wengi walipe kodi hapa tz sio kuwaumiza public servants na wafanya biashara wachache wasiojua kukwepa kodi.