amba.nkya
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 446
- 131
Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr Mwakyembe (CCM) amechaguliwa kwa kishindo. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi wa Kyela walivyokomaa kisiasa kwa kumchagua mtu anayefaa kuwa kiongozi wao bila kujali itikadi za vyama vyao. Big up, I like that! :israel: