Elections 2010 Hongera wana Kyela kwa kuchagua CHADEMA na CCM

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr Mwakyembe (CCM) amechaguliwa kwa kishindo. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi wa Kyela walivyokomaa kisiasa kwa kumchagua mtu anayefaa kuwa kiongozi wao bila kujali itikadi za vyama vyao. Big up, I like that! :israel:
 
Uwongo mkuu wangu, fuatilia tena source yako.

Mwakyembe kashinda kwa kishindo (asilimia 90) na JK pia kashinda kwa kishindo (asilimia 75).
 
Ktk hali isiyo ya kawaida katika siasa za Tz, matokeo ya awali ya Jimbo la Kyela yanaonyesha kuwa wana Kyela wamemchagua Dr Slaa (CHADEMA) ili awe Rais, aidha mpambanaji na kipenzi cha wengi Dr Mwakyembe (CCM) amechaguliwa kwa kishindo. Hii inaonyesha ni jinsi gani wananchi wa Kyela walivyokomaa kisiasa kwa kumchagua mtu anayefaa kuwa kiongozi wao bila kujali itikadi za vyama vyao. Big up, I like that! :israel:

Figures mkuu!!

Votes v/s waliojiandikisha!!
 
Mbona una hasira?

Reyes,

Ni kwasababu toka jana usiku tumekanusha hizo habari lakini watu bado wanakuja na uvumi. Tusichanganye watu bure hata pale ambapo kuna facts.

Dr. Slaa ameshinda kata ya Kyela mjini kura 4062 wakati JK kura 2700. Nafikiri hili ndilo linawachanganya wanaopigiana simu. Kyela ina kata 23 na kwenye kata za vijijini JK kashinda kwa kura nyingi sana.
 
Walishamwambia wazi kuwa wao hawachagui chama bali mtu makini. Kwa kweli tunahitaji kujifunza kutoka kwa watu kama hawa. Nashangaa sana mtu anayeng'ang'ania chama hata kama unaona kwa macho yake wagombea ni bomu.
 
reyes,

ni kwasababu toka jana usiku tumekanusha hizo habari lakini watu bado wanakuja na uvumi. Tusichanganye watu bure hata pale ambapo kuna facts.

Dr. Slaa ameshinda kata ya kyela mjini kura 4062 wakati jk kura 2700. Nafikiri hili ndilo linawachanganya wanaopigiana simu. Kyela ina kata 23 na kwenye kata za vijijini jk kashinda kwa kura nyingi sana.
tuletee na kata zingine
 
Reyes,

Ni kwasababu toka jana usiku tumekanusha hizo habari lakini watu bado wanakuja na uvumi. Tusichanganye watu bure hata pale ambapo kuna facts.

Dr. Slaa ameshinda kata ya Kyela mjini kura 4062 wakati JK kura 2700. Nafikiri hili ndilo linawachanganya wanaopigiana simu. Kyela ina kata 23 na kwenye kata za vijijini JK kashinda kwa kura nyingi sana.

Unaweza kutupa numbers kamili za matokeo katika hizo kata nyingine?
 
tuletee na kata zingine

Soma thread nyingine ile ya Mbeya na ina figure. Sina namba za kata zote ila nimepewa asilimia ya matokeo ya jumla kwa kata zote ambayo ni
JK 75 kwenye urais na Mwakyembe 90 kwenye ubunge.
 
Back
Top Bottom