Hongera wana JamiiForums

Karibu ktk jukwaa letu la umbea na udaku! hapa utapata habari zote za nimesikia!, kuna habari!, inasemekana!, na kuna tetesi kuwa masanduku ya kura yamekamatwa mpakani mwa TZ na Zambia!! au pia unaweza kupashwa habari za kuvuja kwa Siri za Serikali au nusu ya Usalama wa Taifa hushirikiana na Kiongozi mmoja muandamizi wa upinzani! wakati huo huo Usalama wa Taifa huisaidia Chama Tawala kuiba kura!!!

Karibu ndugu ktk jukwaa la kusifia CDM tu! hiki ni chama safi kabisa! tena kiko juu, juu, juu zaidi!!! na ole wako ujaribu kuponda hiki chama kwa hoja! matokeo yake utayaona mwenyewe baada ya ujumbe wangu!! angalia jinsi hawa mashabiki watakavyonishambulia!!!![/QUOT

Ya nini haya yote muache atajionea mwenyewe, kama upo katika jukwaa la umbeya na udaku basi na wewe ni mmoja wapo....
 
Kwa siku nyingi nimekuwa nikifuatilia JamiiForums topics kama mgeni leo nimejiunga rasimi na JamiiForums community.

Kwa kweli community hii inasaidia sana kutupa ukweli wa mambo hasa kwa mimi ambaye sipo Tanzania kwa sasa.

Nawapa big up, Mungu azidi kuwalinda ili tukamilishe ukombozi wa mtanzania.


karibu sana Cicy, nadhani umeshajifunza na kuona meni humu ndani.. kuwa mvumilivu tu.. maana humu ndani kila mtu ana upeo wake wa kufikiri...... Note this Jamii Forums ni kipimo cha uvumilivu
 
Back
Top Bottom