Kishongo
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 932
- 64
Kwa niaba ya Watanzania wote wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli, Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa wahitimu wote wa kwanza wa UDOM.
Tunaamini kuwa mtatoa mchango mkubwa katika kuendeleza nchi yetu kwa kutumia taaluma mliyopata. Nawatakia kila la heri.
Wapuuzeni wale wote wanaokiponda chuo chetu, yachukulieni mawazo yao kama kokoto.
Kwa wanafunzi mnaoendelea na masomo, ongezeni bidii katika masomo. Endeleeni kuwa na moyo wa uzalendo kama mlivyodhihirisha katika tamko lenu dhidi ya kitendo dhalimu cha baadhi ya wabunge waliotoroka kazi.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Zidumu Fikra Tukufu za Rais wetu JK.
Mapinduziiiii ..... Daimaaaa!!!