KIMBURU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 210
- 189
Mh. V. NYERERE
Pongezi kwako Mh. V. Nyerere kwa kumanage vizuri kampeni za Arumeru zilizokipa ushindi CHADEMA. Umeonyesha ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kuwatoa knock out vigogo wa CCM wakiongozwa na kubwa la mafisadi, Mkapa na mwenzake Lowasa. Mungu aendelee kukupa nguvu na kukuimarisha zaidi katika safari ya ukombozi wa Tanzania.
LUSINDE
Sioni tusi linalokufaa kwa wakati huu lakini ujue kuwa wewe ni moja kati ya wehu ambao wanastahili kuwepo milembe. Umemuudhi kila mwenye akili timamu katika nchi hii; na umechangia kwa kiasi kikubwa kukigharimu chama chako kwani kauli zako za kifedhuri zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza credibility ya chama chako katika uchaguzi huu. Tafuta muda ukiombe radhi chama chako na taifa kwa ujumla vinginevyo subiri tu kwani usifikiri utaendea kubai salama. We can't let you go with all the pain you have caused in our hearts. GET PREPARED!!!