Hongera V. Nyerere, Shame on you Lusinde

KIMBURU

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
210
189
Mh. V. NYERERE
Pongezi kwako Mh. V. Nyerere kwa kumanage vizuri kampeni za Arumeru zilizokipa ushindi CHADEMA. Umeonyesha ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kuwatoa knock out vigogo wa CCM wakiongozwa na kubwa la mafisadi, Mkapa na mwenzake Lowasa. Mungu aendelee kukupa nguvu na kukuimarisha zaidi katika safari ya ukombozi wa Tanzania.

LUSINDE
Sioni tusi linalokufaa kwa wakati huu lakini ujue kuwa wewe ni moja kati ya wehu ambao wanastahili kuwepo milembe. Umemuudhi kila mwenye akili timamu katika nchi hii; na umechangia kwa kiasi kikubwa kukigharimu chama chako kwani kauli zako za kifedhuri zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza credibility ya chama chako katika uchaguzi huu. Tafuta muda ukiombe radhi chama chako na taifa kwa ujumla vinginevyo subiri tu kwani usifikiri utaendea kubai salama. We can't let you go with all the pain you have caused in our hearts. GET PREPARED!!!

 
Haya matusi yote yameingia masikioni mwa watoto wetu, maadili sijui yameenda wapi ccm kuweni makini sana na watu kama hawa ,wanadai wametukanwa na chadema ila hawana ushahidi, its shame to a big paty like this kuwakumbatia mataahira wanaowatukana dada zetu na mama zetu hadharani
so lusinde should resign
[video=youtube_share;1lSaLItmj-c]http://youtu.be/1lSaLItmj-c[/video]
 
Hivi kweli mliwafanya warumeru kuwa hawajui aliyesababisha machungu wanayoyapata. Wewe ulete machungu, then wewe ndiye uweze kuyaondoa! baba yako alikuwa Mbunge na tena waziri wa fedha kashindwa kuwashawishi wazee wenzake sembuse wewe.

Mkapa, wasira na Lusinde wapewe onyo. Kwani baada ya kufungua kampeni za kisiasa wanafungua (Zamani tulikuwa tunaita Malani) aah Vincent Nyerere sio familia ya JK wa Ukweli, wapi na wapi.
 

Kwa walioshuhudia hata kusikia matusi ya nguoni yamhuni aitwaye Livingstone or Leavingstorm Lusinde, watakubaliana nami kuwaalisaidia sana CHADEMA kushinda. Sasa kila kitu kiko wazi CCM wamebwagwa. JeLusinde atapeleka wapi matusi yake? Je CCM na NEC watakaa kimya bila angalaukumuonya achia mbali kumchukulia hatua? Je kwa kumtukana mgombea urais waCHADEMA si sawa na kumtukana Jakaya Kikwete ambaye naye alikuwa mgombea wa CCM?Lusinde, karibu kituo cha mabasi Mwenge tukapige debe au njoo mtaa wa Kongotuuze mitumba na kuwatukana akina mama akiwamo mama yako.
 
i second the move..........

modalities gani zinatakiwa kuweka petition kwa huyu jamaa??? can we print ile video na kugawa bure around tanzania
 
hii ni aina ya wabunge wanaotuwakilisha bungeni ..hakika tuna safari ndefu so sad

This is the type of political party ccm has degenerated to; from a party of ideas to a party of political fools!!
 
Sitaki hata kusikia jina lake,ananichefua kabisa,nilikuwa na hasira na ccm lakini lusinde alikuja akaongezea kidogo hasira zinipe uchizi,ahsante Mungu kamwadhibu,
 
wanawake wa ccm wanahitaji elimu ya uraia kwa sababu wanapumbazika na vifedha wanavyotupiwa na ccm vinginevyo ni aibu kubwa mwanamke mwenye watoto kushangilia matusi makubwa kiasi hicho mbele ya watoto. Hii ni aibu kubwa inabidi tuombe toba kwa ajili ya laana hii inayoletwa na hawa wanawake wenye kuangalia matumbo yao tu bila kujali kizazi kinachokuja.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom