Hongera Tundu Lissu Hongera Ismail Jussa;

Hongera Tundu Lissu Hongera Ismail Jussa;

Nimeona hata Waziri wa sheria Zanzibar kamkomalia Sitta aache kulete ubabaishaji. AG Weremanaye kaishia kuumbuka alipotaka kutetea kwa hoja dhaifu na ya kupotosha kama vile mle ndani ya bunge wajumbe wote ni maamuma kama wa CCM.
NAONA mwendo mdundo umeanza rasmi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
CCM watu wa ajabu kweli! Walionesha kuwa eti Waryoba hana akili na sasa wanataka kuonesha kuwa Mzee Kificho hana akili pia. Kanuni zilizopitishwa juzi tu wanataka kuzichakachua! Mzee Samweli sita, mbona unataka kuonesha kuwa Kificho alikosea kuridhia Kanuni zile? Mnataka kuzibadili kwa kuwa zitakuwa kikwazo kupitisha mambo yenu au vipi? Hongera Lissu kwa kufichua njama hiyo ya Samweli 6 kupendekeza kuchakachua Kanuni za bunge.
 
kwa kweli yule jaji alimrudishia ubunge TL inabidi apigwe chini,teh,teh,teh
 
Ongera Tundu Lissu Ongera Ismail Jussa;
Kwa kazi ya leo hakika mnastahili pongezi ;
Sitta pole sana huyo ndio Lissu,,Jussa.
Kwa somo la leo basi jipime tena kama unastahili kuitwa wa mzee wa viwango?
Kwa wingi wenu mjengo msifikiri mnawatisha hawa Tundu Lissu na Ismail Jussa;
Eti nyie ccm ni vigogo basi hawa ni Visiki "Jussa Kisiki na Kisiki Lissu"


1900012_624589907625007_1054844523_n.jpg

Safi sana!hawa ni miongoni mwa watu tunaowahitaji Tz ili tuendelee!
 
Sijui kesho Mzee wa viwango six atakalia kiti chake?

Siku hizi hana viwango ni utapiamlo mtupu. Mtu mzima kanunuliwa bei rahisi. Afadhali angepata Hashimu Rungwe - Mtanzania wa kwanza kufanya biashara ya magari
 
Kiukweli tangu Jussa ameanza kukaa na Tundu Lissu ame recover sana anatoa point zinazo eleweka na kujenga hoja zenye mashiko heko nyie wote

BACK TANGANYIKA
 
mjomba nikipata nauli naenda Dodoma mechoka kusoma magazetini na mitandaoni na hata kutazama/kusikiliza radio/tv
 
Ongera Tundu Lissu Ongera Ismail Jussa;
Kwa kazi ya leo hakika mnastahili pongezi ;
Sitta pole sana huyo ndio Lissu,,Jussa.
Kwa somo la leo basi jipime tena kama unastahili kuitwa wa mzee wa viwango?
Kwa wingi wenu mjengo msifikiri mnawatisha hawa Tundu Lissu na Ismail Jussa;
Eti nyie ccm ni vigogo basi hawa ni Visiki "Jussa Kisiki na Kisiki Lissu"


1900012_624589907625007_1054844523_n.jpg

Enyi makamanda kulikoni? kwanyukeni basi tuelewe nini kimetokea huko dhidi ya hayo magamba??
 
Mnasifu ujinga, nasema hayo leo hamuwezi kukubali lkn kuna siku mtaamini kuwa lisu na genge lake wanatupotosha makusudi,
 
Jifunze kiswahili kisha uje upost ...sio ongera na hongera

Umejuaje kama alimaanisha hivyo?!
Wapi ulijifunzia na kuambiwa neno Kiswahili linaanza na herufi ndogo?!
Unamsafisha mchafu kwa mkojo?!
Gamba la 6 wewe
 
Huu muunganiko wa LISU na JUSA! Ni zaidi ya ukimwi kwa Werem... na washirika wake magamba.Awamu hii magamba lazima wajuuuute! kuwafahamu.
 
Back
Top Bottom