Hongera Tunda Man ila mh.....

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
EXCLUSIVE: PICHA 19 ZA NYUMBA ANAYOMILIKI NA KUISHI MSANII TUNDA MAN, PICHA ZA JIKO, SEBULE NA CHUMBANI.

<small style="font-family: Tahoma, Arial, Helvetica, sans-serif; font-size: 1.1em; line-height: 1.6em; padding-bottom: 1.4em; color: rgb(116, 119, 117);">
</small>

29​
Nyumba iko Mabibo Dar es salaam na inamilikiwa na Tunda Man msanii wa bongofleva kutoka Tiptop Connection.

.

Hiyo sehemu yenye kioo ni maalum kwa ajili ya dancers wake kufanya mazoezi.

.

.

.

.

.

.

.

Mtoto pekee wa Tunda Man.

Hapa ndipo anapolala Tunda Man.

.

.

.

.

.

.



ILA HAPON CHOONI, BAFUNI NA SINK LA VYOMBO NA HUO MLEGEZO WAKO,,,,,NAONA VITU HAVIKUKAA VIZURI....

​


(C) EXCLUSIVE: PICHA 19 ZA NYUMBA ANAYOMILIKI NA KUISHI MSANII TUNDA MAN, PICHA ZA JIKO, SEBULE NA CHUMBANI. « Millard Ayo
 
sio mbaya kuliko ungekua unamaliza hela kwa mademu na starehe kama wale wengine.....big up tunda
 
Chooni na jikoni hapajanibariki........hilo jiko hapo lilipo na hiyo mbao hapo juu yake .........niaje niaje.........
 
Chooni na jikoni hapajanibariki........hilo jiko hapo lilipo na hiyo mbao hapo juu yake .........niaje niaje.........

Umeambiwa hiyo ni ya tunda man kaijenga jinsi anavyohitaji yeye na si kama unavyotaka wewe. Utakapokuwa tayari kujenga ya kwako,utaweka madowido unayoya penda!
 
Umeambiwa hiyo ni ya tunda man kaijenga jinsi anavyohitaji yeye na si kama unavyotaka wewe. Utakapokuwa tayari kujenga ya kwako,utaweka madowido unayoya penda!

Sawa sawa kabisa mkuu.........
 
ukweli amejitahdi kuwa na nyumba nzuri ila usafi tu ndio ambao anapaswa kuongeza hasa jikoni na maliwatoni.

nilipenda sana nyumba ya jay dee nafkiri wasanii wetu wanapaswa kuiga mifano ya hawa watu.

BTW Mbuzi Mzee AY anamiliki mjengo??
 
Last edited by a moderator:
Tunda ana bore kwa mamilegezo yake tu! Kuna siku nilipanda naye bus moja (Tahmeed) kutoka Dar kuja Tanga alivyo kuwa kavaa ni aibu tupu kwa mtoto wa kiume kuwa na uvaa wa namna ile! Ilikuwa ni zaidi ya jinsi anavyo onekana hapo kwenye picha na kibaya zaidi hakujali kuwa uvaaji wake una kera na kukwaza huku akijijua kuwa yeye ni kioo cha jamii.
 
safi sana kijana na huo ni mfano wa kuigwa na wasanii wote,sasa hapo bado mwanamke tu...big..up! sana
 
hongera sana kijana..swafiiiii
lakini ni music tu wa bongo ndo umekulipa au kuna mishe unafanya
 
Kuweka masaburi nje ndo nini sasa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kajitahidi kwa kweli ila usafi ndo kashindwa!
 
Kajitahidi kwa kweli, aimarishe usafi wa mazingira
 
Umeambiwa hiyo ni ya tunda man kaijenga jinsi anavyohitaji yeye na si kama unavyotaka wewe. Utakapokuwa tayari kujenga ya kwako,utaweka madowido unayoya penda!

Aha ha ha ha haaaaaaa!!!!
Nimelipenda hili jibu.
 
Big up Kijana, Ujenzi ulivyomgumu kweli umepambana mambo mengine ya usafi na nini ni nyongeza tu, balaa ni kusimamisha mjengo bana.
 
Nafasi ya mwanamke katika jamiii........................
hiyo sio nyumba ni ghetto

ni kweli hili ni geto, ingekuwa nyumba chooni na jikoni kusingekuwa vile...na hata mazoezi yasingefanyika hapo..
 
nyumba mwanamke aoe sasa ataona mabadiliko ya nyumba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…