Hongera Ngorongoro fulltime: SUDAN 2 vs TANZANIA 1. SISI MAGOLI 4 NA WAO MAGOLI 3
safi sana. Huo ndio utamu wa kushinda kwa magoli mengi nyumbani, kama simba vile.Hongera vijana wetu. Huyu Paulsen wa Ngorongoro Heroes ni bora kuliko kaka yake wa Stars.
Hongera Ngorongoro fulltime: SUDAN 2 vs TANZANIA 1. SISI MAGOLI 4 NA WAO MAGOLI 3
Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?Hongera vijana
Haaahaaaa! Kwani magamba kuna kitu wanaelewa?!Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?
Ilichezewa huko sudan.Hii mechi imechezewa wapi?
Dar ama Karthoum?
safi sana. Huo ndio utamu wa kushinda kwa magoli mengi nyumbani, kama simba vile.
Ribosome huelewi nini sasa? We MALAPA (YANGA) nini? Ngorongoro walishinda 3 -1 hapa wakajiwekea akiba ya magoli, kama vile simba ilivyoshinda 3 - 0. Hutaki ukweli?
Soma hiki ulichoandika wewe na alichoandika mleta mada uelewe tofauti iko wapi.
Nimependa sana matokeo na kila sifa zipelekwe kwa Kikwete kwa kutuletea hawa makocha wa angalau wanatuingiza kwenye duru za michezo Afrika. Hongera Kikwete.