Hongera timu ya vijana ngorongoro heroes

Wera Weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Vijana wetu ingwa Mtapotea kimiujiza! Ndo bongo hii, Mtapotea kama wale watoto wa Coca Cola.
 
Hawa vijana tunajua walipotoka?Nani kawaanda?Mara kibao tumeona timu za vijana wenye juhudi na ari wakiokotezwakuunda timu,wanashinda mechi za awali lakini kwa sababu ya kukosa mafunzo ya awali ya mpira huishia kufungwa wanapokutana na vijana wa arabuni au Afrika magharibi waliopata mafunzo ya awali ya mpira.In fact tumeshazoea kuwatoa wenzetu wa Afrika mashariki na kusini mwa Afrika katika raundi za awali lakini mwisho wake ni ule ule,Kushindwa kuingia kwenye makundi.Same story,different cast
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom