Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
TBC ndio TV pekee inayozingatia maadili ya mtanzania!! Ndio maana mimi kila siku naitazama/naipenda pia.
Jumatatu mpaka jumatano kuanzia saa nne na dakika tano.
Kuna hii tamthilia ya kichina inayotafsiriwa kwa kiswahili. Hii tamthilia ni nzuri, inaucheshi, inamafunzo na maadili. Hii ni tofauti na zile tamthilia za kifilipino zinalenga kufundisha ushoga jamii ya kitanzania.
Ila maranyingi naikutia kati, sijui inaitwaje lakini. Kwa sasa napenda kuiangalia mara kwa mara. Ni vizuri kulinda heshima ya Mtanzania. Ushoga sio dili. Tubaki katika mapenzi yenye afya.
Sio kila tunachokiana tucopy kuna wacheza mpira mashoga na bado tunaangalia, huo ushoga wao ni wao sie kilichotukusanya pamoja kuangalia soka, hvyo hvyo kwenye tamthlia tuchukue mazuri tu mabayo tuwaachie wenyewe.