Hongera TBC kwa tamthilia hii nzuri

Hongera TBC kwa tamthilia hii nzuri

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,377
Kuna hii tamthilia ya kichina inayotafsiriwa kwa kiswahili. Hii tamthilia ni nzuri, inaucheshi, inamafunzo na maadili. Hii ni tofauti na zile tamthilia za kifilipino zinalenga kufundisha ushoga jamii ya kitanzania.

Ila maranyingi naikutia kati, sijui inaitwaje lakini. Kwa sasa napenda kuiangalia mara kwa mara. Ni vizuri kulinda heshima ya Mtanzania. Ushoga sio dili. Tubaki katika mapenzi yenye afya.
 
''Hii ni tofauti na zile tamthilia za kifilipino zinalenga kufundisha ushoga jamii ya kitanzania''

kabla ya kuanza kuonyeshwa tamthilia hakukuwa na mashoga Tanzania?!
 
Ya jana ndio imetoka kuonyeshwa muda huu.Ni nzuri sana na kiukweli inamaadili
 
Mlikuwepo wachache sasa mnazidi kuongezeka

Haya Great Thinker.....niliandika ili utafakari ulichoandika kuwa Ushoga ulikuwepo kabla ya kamera,tv stations etc. Lakini kwa akili yako fupi umeshindwa hata kutafakari. Unreasonable stupid
 
So kama ulikuwepo inabidi uzidi kuwa promoted na TV stations? Why u gays are Simple minded thinkers??
 
if this is the best argument you can make then i have put myself too low to argue with such an idiot.
 
Nilikweli ushoga ulikuwepo tangu zamani. Ila ni tabia chafu na mbaya ambayo imekuwa ikilaaniwa kuigwa. Hilo lilisaidia watu kujiepusha nalo. Ila sasa Serekali hasa za kimagharibi zinahalalisha vijana wa kiume kutumika kama wanawake. Yaani watoto sio riziki tena.
 
Kwenye hiyo kuna viashiria vya ushoga pia, mfano bosi wa shaum
 
Haya Great Thinker.....niliandika ili utafakari ulichoandika kuwa Ushoga ulikuwepo kabla ya kamera,tv stations etc. Lakini kwa akili yako fupi umeshindwa hata kutafakari. Unreasonable stupid

Dah!we kweli hodari yaani umeshindwa kuelewa kuwa tamthiliya zenye vionjo vya kishoga zinachochea na kuufanya ushoga uonekane kuwa ni maisha na tabia ya kawaida tu na inayovumilika?Au hujui kuwa hizo tamthilia zinafanya kampeni ya kuongeza idadi yenu? na unapomwita mwenzako 'unreasonable stupid" una maanish kuwa wewe ni stupid by design? reason?ugua pole!
 
Kwenye hiyo kuna viashiria vya ushoga pia, mfano bosi wa shaum

Mkuu nitafuatilia zaidi, ila kila nipatopo muda. Nakushukuru kwa hii input.
 
Labada suala la ushoga tuliweke kando ili tujadili usuri wa hii Tamthilia. Nami nimeiona mara mbili kwa kweli ina mafundisho sana. Pamoja na kuwa wanaact kwa mazingira ya hina hata hapa TZ yanatokea kwa namna yake. Jamani niliishtukizia tu hata ratiba yake siijui anayeijua naomba anijuze.
 
Haya Great Thinker.....niliandika ili utafakari ulichoandika kuwa Ushoga ulikuwepo kabla ya kamera,tv stations etc. Lakini kwa akili yako fupi umeshindwa hata kutafakari. Unreasonable stupid

Yeye alikuwa anazumngumzia kupromote ushoga, lakini wewe ukajifanya 'hamnazo' !...........your a complete stupid fella ! jerrytz
 
Last edited by a moderator:
Labada suala la ushoga tuliweke kando ili tujadili usuri wa hii Tamthilia. Nami nimeiona mara mbili kwa kweli ina mafundisho sana. Pamoja na kuwa wanaact kwa mazingira ya hina hata hapa TZ yanatokea kwa namna yake. Jamani niliishtukizia tu hata ratiba yake siijui anayeijua naomba anijuze.

Hapa nipo naisubiri, ila jamaa wameleta Kilimo Kwanza !
 
Aha kweli nami naona Klimo kwanza Mhh haya hoping haijai-replace!
 
Kumbe kuna watu wanaangalia TBC ? YAANI channel zote za kisasa mtu unaangalia TBC. unasoma UHURU NA MZALENDO unasikiliza Radio Tutawale Daima.
 
Back
Top Bottom