Hongera Tanga mapenzi yalikozaliwa

kizibo1

JF-Expert Member
May 14, 2015
1,187
766
IMG-20170216-WA0037.jpg
Dar pyuuuu ujuaji mwingi
 
Kuwafunda Wanawake Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Kuna Umuhimu Sana Hawa Wanaojiona Wajuaji Ndo Daily Wanalizwa
 
Wanaume wa Dar acheni ujinga kuleni chakula cha haja sio chips.ona sasa mnavyoachwa.
 
Tanga wanapewa hongera kwa lipi iwapo wameingia ktk tano bora ya kitaifa kwa kuvunja ndoa? Dar nafikiri idadi ya watu inachangia-penye wengi pana mengi
 
View attachment 471488 Dar pyuuuu ujuaji mwingi
Tunataka information za kutosha,,tunahitaji aina za ndoa na dini husika,,,maana kuna watu wanaoa za mkeka,,,kuna zile za karibu na mwezi Wa ramadhani dhen huyeyuka mwezi ukiisha,,,kuna wanaowana kiserikali ( bomani),, kuna za jadi,,
So hiyo chart ni uongo mtupu.
Nilitegemea Tanga wasiwepo kabisa coz kuna watu wakufunzi Wa masuala ya wanawake kabla ya ndoa.
Au labda umetupia hiyo thread ucritisize mkoa flani tu,,,, For true reality that is not fair!!
 
Back
Top Bottom