Ungekuwa jirani lazima ningekuwasha konzi kama sio mbata!Basi. Nimesarenda. Nisamahe. Kuanzia sasa nasema ''Timu ya taifa ni nzuri inacheza kwa kiwango cha hali ya juu sana. Itachukua kombe la dunia mwaka ujao.''
Tz 3 Mor 1.
Samata 2
Ulimwengu 1
Inaitwa TP Mazembe Combinenga.
sasa wewe unaona ina nini au ndo unapata habari hapa?Haa haa haa. Katika watu wenye ubishi wa kijinga duniani Watanzania wanaongoza. Kweli unaweza kutamba timu ya taifa ina kiwango?
Wakuu niulize tu, hiv i hii mechi ya kirafiki au?
Najua hili ni jukwaa la siasa lakini hatuna budi kuipongeza taifa stars kwa ushindi ilioupata dhidi ya timu ya taifa ya moroco.
Tukumbuke angalau huu ndo upande unaotuunganisha watanzania kwa pamoja hivi sasa na ni habari njema tumepiga hatua moja mbele. tuwape moyo vijana wetu tuondoe sihasa huku zisije zikaharibu kila kitu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
sasa wewe unaona ina nini au ndo unapata habari hapa?
maneno yanaumba naomba mungu afanye kama unenavyo.Ahaa nimesahau. Ina kiwango cha hali ya juu sana. Itachukua kombe la dunia.
Roho mbaya aijengiUnawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Ha ha haa huyoooooo unaloo!! una origin ya mwarabu bila shaka. Tumewashika nyeti kwa nyuma mkiwa mmechuchumaa.Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
maneno yanaumba naomba mungu afanye kama unenavyo.
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Well said
Kufuzu kunaanzia wapi??Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
Ili iweje?Stay Lovely and Sexy
check sexy ladies