Hongera Taifa Stars!

Hongera Taifa Stars!

Open-Minded

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
278
Reaction score
165
Najua hili ni jukwaa la siasa lakini hatuna budi kuipongeza Taifa Stars kwa ushindi ilioupata dhidi ya timu ya taifa ya Morocco (Tanzania 3 - 1 Morocco).

Tukumbuke angalau huu ndo upande unaotuunganisha watanzania kwa pamoja hivi sasa na ni habari njema tumepiga hatua moja mbele. Tuwape moyo vijana wetu tuondoe sihasa huku zisije zikaharibu kila kitu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga
 
Michezo hutuunganisha popote duniani hongera taifa stars.
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

Kwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.

Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!
 
Kwa kweli wanastahili pongezi kwa kazi nzuri, hayo mengine huko mbeleni, liwalo na liwe
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

We ndo una ushamba wa kijinga. Hongera inaanzia pale mtu anapoonyesha njia. Hongera Star angalau mmetutoa kwenye mazoea ya kushinda michezo ya kirafiki. Hongera sana.
 
kichwa cha mwendawazimu kimebahatisha wala hatuna kiwango cha kwenda cheza brazil tuwaache tu kina chamack marudiano tutakunya hata 5 kwao
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

Huwezi kufuzu bila kushinda, na kushinda ni hatua muhimu kuelekea kufuzu. Hivyo ni muhimu kujipongeza katika kila hatua.
 
Safi sana, taratiiibu kichwa cha mwenda wazimu CHATOWEKA.
Kudos to Taifa Stars!
 
Kwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.

Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!

Well said
 
Kibanga achana na huyo jamaa, anaroho ya kwa nini. Yani hao wapo wengi Tz na ndo wasiopenda kuona tunaendelea manake hata ufanye kizuri hawakosi sababu, vijana wamecheza standard soccer. Wakiongeza confidence hakika tutasonga mbele.
 
Unawapongeza kwani wamefuzu? Hili ndo jambo linalowafanya wa tz kuonekana waajabu! Kazi kupongeza hata kitu ambacho hakijatekelezwa..
Acheni ushamba wa kijinga

Mkuu uwezo wako wa kufikiria ndo umefikia hapo.

Asiye funzwa na mamaye Ulimwengu humfunza. Sio lazima kila kitu uchangie
 
Kwa mtu kama wewe Hata wakifuzu Utasema Hawaja chukua kombe.
Hata wakichukua Kombe utasema ndio mara ya kwanza.
Hata wakichukua mara ya pili utasema. Hawajacjhukua mara Tatu.

Kifupi watu kama nyie mpo na mtaendelea kuwepo.
Pole sana!

na akumbuke kila hatua nia safari, ya michezo awachie wanamichezo.
 
Back
Top Bottom