MUNDALI WA ILEJE
Member
- Sep 27, 2012
- 32
- 9
Jiji la mbeya sasa barabara zote zinapitika achiliambali za world bank barabar zote za jiji zimesindiliwa kifusi safi na hakuna matatizo ya magari kukwama tena kama brock T ,mama john, sae, nk na huu ni mwanzo tu