Hongera sana Rais, Zitto aifurahia sana Bombadia

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,208
42,068
Wana jamvi wasalaam.
Ni wazi sasa hata wale waliokuwa wanaziponda ndege zetu kuwa hazina break mara ni sawa na babaji wameanza kujionea kwa macho na wamezipanda na kuzifurahia...

Nampongeza sana Mh Zitto kwa kuanza kuzitumia Ndege zetu hizi bora na bila shaka umejionea ubora wake maana hadi sasa hujasema jambo lolote hata kutoa pongezi kwa Mh Rais..

Mh Rais naendelea kukupongeza sana bila kujali kelele wewe unatenda kwa manufaa ya watanzania wala huhitaji mtu ashukuru hadharani lakini yeye kujionea kwa macho inatosha kabisa.
Asante pia Mh Zitto kwa kutumia Ndege zetu nzuri na bila shaka ulifurahia sana safari kwani hilo tabasamu sio la bure bure bali ni raha mstarehe...

Kwaniaba ya Air-Tanzania tunawakaribisha sana watanzania wote mtumie ndege zetu kwani hamtojuta kuzitumia mtafurahia sana tena sana kama hapo chini mnavyo muona Mh Zitto.

Tuna wakaribisha sana watanzania




Faustine Ndugulile‏@DocFaustine
Baadhi ya wabunge kwenye safari ya kwanza ya @AirTanzania toka Dar kwenda Dodoma. Pongezi kwa Air Tanzania kwa huduma nzuri cc @MbarawaM


C2RIVWiXcAAaYnh.jpg
 
Wanasiasa wetu wengi wanafki, wanachosema na kutenda tofauti.
By the way unakumbuka mbowe kususia gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni??? Nadhani unakumbukumbu nini kilifuata baadae.........
hahahaha Kuna thread ipo humu inasema Watanzania wengi ni wanafiki na walalamishi teh teh
 
Back
Top Bottom