Hongera sana nmb kwa kutoa gawio kubwa kwa kila hisa

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Binafsi nitoe shukrani zangu za dhatI kwa NMB kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuwahudumia wananchi. NMB imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa gawio nzuri kwa wanahisa wake. Mwaka huu wametoa Tshs.428 kwa hisa moja kiasi ambacho hakijawahi kutokea. Pongezi hizi zimwendee CEO wa NMB Mama Zaipuna. Hongera sana CEO kwa uongozi uliotukuka kwa kuifanya NMB kuongoza Mabenki yote kwa kutoa gawio iliyo kubwa.

Naishauri Mabenk mengi yaige mfano wa NMB na hasa jirani zenu CRDB wajitahidi kutoa gawio inayotosheleza. HONGERA SANA NMB.
 
Huyu CEO atakua sio mbongo, kwasbb hamna kampuni inao ongozwa na Mtazania na ikaperform effectively wa bongo wenye ngozi nyeusi hapana.
 
Binafsi nitoe shukrani zangu za dhatI kwa NMB kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuwahudumia wananchi. NMB imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa gawio nzuri kwa wanahisa wake. Mwaka huu wametoa Tshs.428 kwa hisa moja kiasi ambacho hakijawahi kutokea. Pongezi hizi zimwendee CEO wa NMB Mama Zaipuna. Hongera sana CEO kwa uongozi uliotukuka kwa kuifanya NMB kuongoza Mabenki yote kwa kutoa gawio iliyo kubwa.

Naishauri Mabenk mengi yaige mfano wa NMB na hasa jirani zenu CRDB wajitahidi kutoa gawio inayotosheleza. HONGERA SANA NMB.
Eti CRDB ndio wapo juu zaidi kuliko NMB according to huyu

Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa — Gawio (dividends)
 
Back
Top Bottom