Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Habari wanajamvi,
Ni miezi kadhaa imepita ndugu [HASHTAG]#Nkanga[/HASHTAG] chief alileta habari humu ndani kwamba ajira ni mpaka mwezi wa pili!
Wizara ya utumishi wa umma wakatoa tamko kabisa kukanusha habari hiyo.....
Na kibaya zaidi walimtaja na ID anayotumia humu ndani na kusema uzushi huo umeanzia jamii forum
Ila mpaka sasa tumebakiza muda kidogo kuingia mwezi wa pili aliyeitwa mzushi na kukanushwa kwa mbwembwe zote ndio ameibuka mkweli!
Hongera sana kokote uliko kwa kudumisha dhima ya Jamii forum "Where we dare to talk openly"
Hakika uongo ni huko huko kwao #Jf uongo kwetu ni mwiko
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.......Mungu aendelee kukulinda wewe unastahili kusema mniombee