Hongera sana mwamba wa mageuzi Mbowe, Tanzania itakukumbuka daima

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mbowe ni kati ya viongozi muhimu katika siasa za upinzani hapa nchini na nje ya Tanzania .

Tangu siasa za vyama vingi zimeanza ameonyeha kuwa yeye ndiye kiongozi bora kwenye siasa za upinzani na hana mpinzani iwe ndani ya chama au nje ya CHADEMA.

Amefanya siasa za kiungwana na yupo makini sana kuhakikisha analinda maadili yake binafsi na taifa pia.

Anakubalika popote pale nchini Tanzania maana siasa ni watu na kukubalika kila mahala na siyo kukubalika kwa kitongoji.

Hakika dunia na Bara letu Afrika na Tanzania tunakuhitaji sana na daima tutakujumbuka kwa uadilifu wako.

Tanzania bila CCM inawezekana chini ya CHADEMA.

Mbowe anatufaa watanzania!
 
Back
Top Bottom