Pia mbaguzi huyu mama nasikia TV yake wanawake hawaruhusiwi kuvaa Hijabu, huko ni kuwanyanyapaa wanawake wenzake ndio maana wengi wamejitoa.Najaribu kulinganisha hizi hongera zako ulizompa Mama Joyce Mhaville na lawama za kila siku za Wafanyakazi wa Radio One na ITV kuwa wana maisha magumu, huku kutwa wakiishia tu ' Kugongea ' Mihogo pale Kona ya ITV na kwenda kula Chakula cha ' Kushea ' pale Kambi yao Kuu ya Maryland Hotel huku ' mishahara ' yao ikicheleweshwa na kulimbikizwa.
Ama kweli leo nimeamini kwamba ' usilolijua ni sawa na usiku wa giza '.
Hongera sana Mama Joyce Mhaville kwa hizi pongezi / kongole za ' Kinafiki ' ulizopewa.
Hivi cheo cha Mengi ITV ni kipi?
Duh! Si kweli kuna wenye familia na wamefika mbali. Hiyo hali ya huyo mama sidhani hata kama yeye yuko comfortable.I like her, she is a straight forward woman, no bling bling. She studied in Russia. Dah ila hana mtoto wala mme. Some time kutokuolewa nako ni kuzuri especially kwa career woman kuexel zaidi.
Nimesema some time,na siyo alltimes.Duh! Si kweli kuna wenye familia na wamefika mbali. Hiyo hali ya huyo mama sidhani hata kama yeye yuko comfortable.
Kuna ingine baba..inkwenda kwa jina "AIBU YAKO, HATA WEWEE"Namkumbuka kwenye
KULIKONII!!?
hakika anastahil pongezi.
Aaaaaah kumbe ni yeye, aseeeeKuna ingine baba..inkwenda kwa jina "AIBU YAKO, HATA WEWEE"
Namkumbuka kwenye
KULIKONII!!?
hakika anastahil pongezi.
Nakupa like za kutosha.... Pale Maryland wakikaaga wanaboa sana yaani.
Ipi ambayo sio bure?Tukienda na ukweli ITV ni bure kabisa
Angalia habari zao hazina utafiti
Hawana vipindi vizuri
Wewe jamaa kujifanya unajua kilakitu ipo siku utakalia kijitiKatika Watu / Wafanyakazi ambao nawajua tena mmoja mmoja in and out ni wa hiyo Media. Nimpongeze tu tena Mama Joyce Mhaville kwa kusifiwa / kupongezwa ' Kinafiki ' hivyo wakati ukweli wa ' Kampuni ' anayoiongoza na matatizo yake yasiyoisha unajulikana na ' Wafukunyuku ' tuliotukuka kama Sisi.