Hongera sana Easter Bulaya kwa uchapakazi wako

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,071
Wasalaam

Mh Easter Bulaya ni mmoja wa wabunge machachari sana hapa Tanzania.

Ni mmoja wa wabunge wenye misimamo madhubuti na wenye kusimamia wanacho amini!

Easter Bulaya ni mmoja wa wabunge wenye utu na upendo kwa watu wake na wanchi!

Easter Bulaya ni mbunge makini sana ambaye bunge letu limeshawai kupata!

Easter Bulaya ni mwanamke wa shoka!

Hongera sana Easter Bulaya kwa uchapakazi wako!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukisifiwa na jini ujue mauti i karibu..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni mtu makini sana.Ameiua Sisiemu Bunda.
Ameua kabisa.
Yaani hata bendera tu ya sisiem kuiona ni mpaka ukapigiwe ramli.

Nshomile utakufa na ukimwi

Wacha unafiki wewe, na kama unadhani kwa kumsifia ndiyo atarudi ccm basi umebugi sana.

Na hata kama atarudi ccm basi siyo kwa sifa zako hizo za kijinga bali atarudi kutafuta green light ya kuupata mkate wake wa kila uchao

In God we Trust
 
Kati ya watu ambao hawataki kumsikia mh Bulaya ni Wasira.
Kamtoa kwenye ubunge hadi kwenye kufuga mbuzi wawili
Huyu ni mtu makini sana.Ameiua Sisiemu Bunda.
Ameua kabisa.
Yaani hata bendera tu ya sisiem kuiona ni mpaka ukapigiwe ramli.

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1458023812583-1.jpeg

In God we Trust
 
Back
Top Bottom