Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,210
- 42,072
Wasalaam
Mh Easter Bulaya ni mmoja wa wabunge machachari sana hapa Tanzania.
Ni mmoja wa wabunge wenye misimamo madhubuti na wenye kusimamia wanacho amini!
Easter Bulaya ni mmoja wa wabunge wenye utu na upendo kwa watu wake na wanchi!
Easter Bulaya ni mbunge makini sana ambaye bunge letu limeshawai kupata!
Easter Bulaya ni mwanamke wa shoka!
Hongera sana Easter Bulaya kwa uchapakazi wako!
Sent from my iPhone using Tapatalk