Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Katika jambo ambalo limenifuraha jana ilikuwa ni UAMUZI wa mkuu wa mkoa Mbeya kupiga marufuku uganga wa Ramli. Kandoro amepiga marufuku uganga wa kienyeji unaotumia ramli kwa kuwa ndiyo chanzo cha mauaji ya Albino, Kuchuna ngozi,kuua wazee, kukata vichwa vya wanawake huko Musoma nk.
Nimekuwa nikiandika kuwa moja kati ya njia rahisi ya kuzuia mauaji ya kishirikina ni kupiga marafuku uganga wa ramuli, lakini kama kawaida viongozi wetu nadhani wakishakaa kwenye VX akili zao huwa hazifanyi kazi.
Hiyo ni marufuku Mbeya, mikoa mingine ifuatie au Waziri mkuu atangaze uganga wa kienyeji kuwa Jinai.
Hongera Kandoro