ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,261
- 4,443
Sisemi mengi;
Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi.
Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali iwapo umeingia kwa njia ya kura halali au haramu wewe ndio Mkuu wa nchi kwa sasa.Hata kama wewe ni Dictator,Totalitarian,Authoritarian au Jina lolote watakalochagua kukupa mpaka utakappofanyika uchaguzi mwingine,
Tupo wengi ambao hatukabaliani na baadhi ya mambo kama vile kumteua Mkweo na Mwanao na Mashosti zako kwenye baraza la mawaziri ila pamoja na hayo tunaamini kwamba Jamhri lazima isimame.
Kwa misingi hiyo basi shikilia hapo hapo na kwa sasa hivi hakikisha hata internet haizimi ili tuone show nzima live na media zireport live na maiti zao wapewe wazizike ila anayeleta chokochoko tumuone akishughulikiwa