The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,426
Hongera mama Samia kwa ushindi hata kabla ya uchaguzi. Kwa vile watanzania wote wanakupenda kiasi kuwa tayari kutoa uhai wako kwa ajili yako, hapakuwa na haja ya kukuchosha na kukuaibisha kwa uchaguzi ambao uliishashinda hata kabla ya kufa Magufuli kwa vile wewe ni chaguo la Mungu.