MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
Mheshimiwa tunakupongeza sana kwa jitihada unazofanya. Kubwa kuliko, umehakikisha watoto wanaenda shule, wakulima wanapata malipo yao. Madawa kibao yanaonekana vituoni sasa kuliko ilivyokuwa awali.
Kwa usiri mkubwa, naomba usinitaje watanishughulikia nakuonesha picha za madawa yaliyotupwa ndani ya majengo mabovu kutokana na madawa kuwa mengi kuliko mahitaji na mengine yameisha muda wake wa matumizi.
Picha nimezichukua usiku kutoka kwenye taasisi moja ya serikali ya mkoa kutokana na kuogopa kushughulikiwa. Hivi kweli tumefikia sehemu ya kutupa dawa?Hakuna vituo vingine vyenye uhitaji wa dawa hizi?.
Wenzako wanakuangusha mh. Raisi. Nilinde wakati ukiwashughulikia