ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,304
- 50,084
Leo imetimia miaka 3 Tangu Rais Samia aape kuwa Rais wa Tanzania.
Kwa miaka hii 3 ,Nchi imepata mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi na kijamii Kwa mda mfupi kushinda wakati mwingine wowote kwenye historia ya Tanzania.
Ni wazi amesimama na kuonesha Wanawake Wana weza zaidi ya kuweza tofauti na kasumba ambayo ilikuwepo Kwa miaka Mingi.
Mojawapo ya mambo ambayo amefanikiwa na kuonesha Uongozi unaoacha alama kubwa ni haya hapa 👇👇
-Kutekeleza na kukamilisha Miradi Mikubwa Iliyoanzishwa awamu ya 5
-Demokrasia na Uhuru wa Maoni/Habari
-Kero ya NIDA
-Maji
-Afya
-Elimu
-Miundombinu hasa Vijijini
-Utalii
-Diplomasia ya Uchumi.
-Kilimo
-Micheso na Sanaa
My Take
Hongera sana Rais Samia kazi umeiweza.
View: https://www.instagram.com/p/C4r_rCjq1vm/?igsh=NHpjdDBicjEzajBt
View: https://www.instagram.com/reel/C4rwaSiKUFB/?igsh=MXM2Z3Z5aDI0c2dxaA==
Wewe umewahi kutoa maoni gani?Mama Samia katika mambo ninayomsifu ni demokrasia ambayo imeleta uhuru wa maoni.
Hili ndilo kubwa kuliko yote.
Acha wivu na chuki usio na msingi.Samia ni Game hata kama hupendi 🤣🤣Wewe umewahi kutoa maoni gani?
Acha wivu na chuki usio na msingi.Samia ni Game hata kama hupendi 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/C4qYdBCNdrO/?igsh=ZXdma3RpajM1c245
Hatua Moja huanzisha nyingine.Hizo Mashine sio mapambo hapo kabla Pesa nyingi zilitumika kwenda Nje ya Nchi,unaposema sio Tija utakuwa na matatizo kichwani.Kuongezeka kwa MRI ni tija? Je masikini waiojiweza wana access ya hizo amchine.
NHIF wamepunguza huduma kwenye bima. Ingekuwa kaleta bima ya afya kwa wote angalau ningeona ni tija.
Nichagueni niwe rais nitaleta bima ya afya kwa wote buree.
Mbunge anatibiwa Apolo huku mlalahoi anatembea na karatasi kuomba omba mitaani ili akatibiwe.
Wacha mbuzi wafurahie na kusherehekea mafanikio ya Samia kwenye maisha Yao 👇👇Mbuzi hao.
Lucas anakuambia, wananchi wamebubujikwa na machozi ova wamefungiwa kwenye chumba kinachowaka kuni mbichiNaskia wananchi wamebubujikwa na machozi wakisherehekea miaka mitatu ya mama
Ujinga kama huu ndio umekujaa kichwani 🤣🤣🤣Hamna kila kitu. Wewe subiri tu uteuzi malamamako.
Samia Suluhu weeh,
Ujinga kama huu ndio umekujaa kichwani 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C4sHhlZtM5W/?igsh=em91cnJveDlxcGk2
Nchi yenye watu million 60+ mnashangilia kupatikata vitambulisho million 10?
Vitambulisho ni Kwa watu wazima sio Watoto.Nchi yenye watu million 60+ mnashangilia kupatikata vitambulisho million 10?
Nyie kuku mnaotembea na vibegi mjini akili zipo kwenye vibegi vyenu.