CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Mwanyasi upo? Nitumie namba yako ya simu please kwenye inbox yangu.Chemistry na benki tena benki ya maendeleo, kesho mtakuta benki inanunua test tube na measuring cylinder
Prof..Kabudi ni Mwenyekiti wa BODIMbona kama nimesikia ni Professor Pala.. Kabudi ndiye kateuliwa?
Kumbe teuzi izi zinaanzia mbali sana,asante kwa taarifa.Profesa Buchwe napenda kukupongeza kwa dhati kabisa kwa kuteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TIB.
Sina wasiwasi na weledi, utendaji wako na taaluma yako ndani ya nchi hii. Tanzania inajivunia kuwa na Profesa wa Chemistry ambaye amewahi kumsimamia (supervise) mwanafunzi wa PhD katika idara ya Kemia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye leo ni Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Si kazi rahisi kushape mwanafunzi wa PhD hadi anapita viva vos katika kutetea thesis yake lakini iliwezekana.
Natambua kazi hii uliifanya kama timu wakati Mkuu wa Idara ya Kemia akiwa Dr. Mubofu ambaye leo ni Mkurugenzi Mkuu mpya wa TBS baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo (Joseph Masikitiko) kusimamishwa kazi pamoja Mkurugenzi wake wa Fedha. Masikitiko hakuwa hata na taaluma ya sayansi lakini alikuwa akisimamia shirika ambalo utendaji wake wa kila siku ulihitaji maarifa ya sayansi - maajabu ya nchi yetu, lakini bora alitumbuliwa.
Binafsi najivunia kuwa alumini wa Idara ya Kemia, UDSM, Idara ambayo imemfunza Rais wa nchi katika mchepuo wa Kemia kwa kiwango cha PhD.
Kazi njema Profesa.
Msibishane sana mpeni quiz!Sielewi wewe ulisoma lini.Masomo ya investment yanafundishwa fani zote.Ukisoma engineering UTAFUNDISHWA mambo ya investments kwenye area yako.Waliobobea kwenye Financial engineering ni mainjinia na waliosoma degree za sayansi.
Ukisoma medicine au kemia unafundishwa unavyoweza kufanya investments na kuandika miradi eg za kufungua hospitali au project za hospitali kufungua kiwanda cha madawa nk.Hivi mameneja miradi ya maabara,mahospitali,nk unafikiri huwa wanasimamia hiyo miradi bila kuvijua hivyo vitu vya kitoto kama Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary? UNAOTA NDOTO za mchana
Mtu wa Level ya professor keshasimamia project kibao za mamilioni ya pesa na somo la project appriasal alilisoma mwaka wa kwanza ,AKASOMA tena kwenye masters, kwenye PHD huko ndio usiguse.
Utasikia aya lete Manganese IV Oxide ili tuchanganye na Boron Gas tuangalie kwanini wakulima wetu hawakopesheki.Serikali imejaa wanasayansi kibao!wachumi na wataalamu wa siasa na Diplomasia hamna,kazi ipo.Chemistry na benki tena benki ya maendeleo, kesho mtakuta benki inanunua test tube na measuring cylinder
Umenichekesha sana mkuu.....Nawapongeza Dr mubofu na prof buchwe kwa pamoja walinifundisha electrochemistry nakpata A, nawapenda wote ingawa one day niligombana na buchwe baada ya kumwambia muda muda Wa pindi umeisha alinimind lakini nikawa nambebea laptop take akanisamehe
Huyu Prof nimesoma naye lakn alikuwa nyuma yangu miaka 3, ana akili sana alikuwa anapata A kila mahali! Uteuzi huu unaona kuwa kuna mashaka, These are economic issue of which he is not knowledgeable!
Ukiongeza na zink peroxide utapata mbegu bora za pamba zisizo ota....Utasikia aya lete Manganese IV Oxide ili tuchanganye na Boron Gas tuangalie kwanini wakulima wetu hawakopesheki.Serikali imejaa wanasayansi kibao!wachumi na wataalamu wa siasa na Diplomasia hamna,kazi ipo.
7milNinaanza kuelewa ni kwanini ana PHD lakini hawezi kuongea hata kiingeza cha kawaida tu, kumbe ni fadhila .
Kazi za benki watu wa fani za sayansi wanaziweza angalia mtanzania mwenzetu huyu
Dr. Frannie Leautier appointed as Senior Vice-President of the African Development Bank Group
CV YAKE
Dr. Léautier holds a Bachelor of Science in Civil Engineering from the University of Dar es Salaam (1984); a Master of Science in Transportation from MIT (1986); and a Ph.D. in Infrastructure Systems from MIT (1990).
Nitalipa, ninayo.7mil
Mh!! Alikuwa mwalimu wake huyu akashindwa ata kumfunza kiingereza kidogo?Profesa Buchwe napenda kukupongeza kwa dhati kabisa kwa kuteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya TIB.
Sina wasiwasi na weledi, utendaji wako na taaluma yako ndani ya nchi hii. Tanzania inajivunia kuwa na Profesa wa Chemistry ambaye amewahi kumsimamia (supervise) mwanafunzi wa PhD katika idara ya Kemia, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye leo ni Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Si kazi rahisi kushape mwanafunzi wa PhD hadi anapita viva vos katika kutetea thesis yake lakini iliwezekana.
Natambua kazi hii uliifanya kama timu wakati Mkuu wa Idara ya Kemia akiwa Dr. Mubofu ambaye leo ni Mkurugenzi Mkuu mpya wa TBS baada ya aliyekuwa katika nafasi hiyo (Joseph Masikitiko) kusimamishwa kazi pamoja Mkurugenzi wake wa Fedha. Masikitiko hakuwa hata na taaluma ya sayansi lakini alikuwa akisimamia shirika ambalo utendaji wake wa kila siku ulihitaji maarifa ya sayansi - maajabu ya nchi yetu, lakini bora alitumbuliwa.
Binafsi najivunia kuwa alumini wa Idara ya Kemia, UDSM, Idara ambayo imemfunza Rais wa nchi katika mchepuo wa Kemia kwa kiwango cha PhD.
Kazi njema Profesa.
Hivi hizi pongezi ni genuine kweli au kuna hidden agenda behind.
Huu unafiki wenu mpaka lini? Kwa nini mnapenda penda sana kuingilia teuzi za Dk.Magufuli.
Hivi kwa miaka yote hamsini ya uhuru hakuna au tumeishiwa wataaluma au wabobevu wa masuala ya kibenki mpaka tukope kwenye wataalamu wa vitesti tyubu? Hivi hakuna eneo lingine ambalo huyu bwana angehudumu kwa ufanisi na weledi? Huu mchezo hauhitaji hasira, rekebisha hiyo apprisail ni appraisal. Hivi hako kasehemu kadooogo kwenye taaluma ndiko kamfanye mtu awe mwanataaluma wa benki?Sielewi wewe ulisoma lini.Masomo ya investment yanafundishwa fani zote.Ukisoma engineering UTAFUNDISHWA mambo ya investments kwenye area yako.Waliobobea kwenye Financial engineering ni mainjinia na waliosoma degree za sayansi.
Ukisoma medicine au kemia unafundishwa unavyoweza kufanya investments na kuandika miradi eg za kufungua hospitali au project za hospitali kufungua kiwanda cha madawa nk.Hivi mameneja miradi ya maabara,mahospitali,nk unafikiri huwa wanasimamia hiyo miradi bila kuvijua hivyo vitu vya kitoto kama Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary? UNAOTA NDOTO za mchana
Mtu wa Level ya professor keshasimamia project kibao za mamilioni ya pesa na somo la project appriasal alilisoma mwaka wa kwanza ,AKASOMA tena kwenye masters, kwenye PHD huko ndio usiguse.
Umeandika kama siyo mtu wa kuegamia/kushabikia chama CCM. Good, hapa we can discuss. Angalia Masters na PhD ni katika fani yenye mwelekeo huo huo wa hiyo kazi. Prof Buchwa ametoka nje kabisa kabisa. Atafanya kwa vile kuna chakula kidogo lakini siyo fani yake please. Kama nilivyosema he is very intelligent and really intelligent! he will adapt to new environment!
Ni kweli Mkuu natwanga maji kwenye kinu. Ila hata kama awe na akili kiasi gani, waswahili wananena 'kambale mkunje angali mbichi, akisha kauka hakunjiki'. Tumeona yule aliyekwenda Chuo cha Kodi kwa wiki mbili akaitwa mtaalamu wa kodi, matokeo yake tunaanza kuhoji weledi wake katika masuala ya kodi. Ifike mahala tuheshimu taaluma za watu. Huyu profesa haelewi masuala ya Kibenki, hata kama iweje hawezi kuelewa uendeshaji wa kibenki na muda sio mrefu utasikia sarakasi za ajabuajabu.Ukijibizana na akina YEHIDAYA unapoteza muda. These are technical things. Prof wa Chemistry hawezi toa mchango wa maana katika mambo ya bank investments! (Return on Investments, Financial Valuation Models, Investment Actuary,etc mimi naona nyota nyota hapo....) kama ulivyozitaja and many many more. Labda atajifunza maana he is very bright, very bright indeed!
Hivi kwa miaka yote hamsini ya uhuru hakuna au tumeishiwa wataaluma au wabobevu wa masuala ya kibenki mpaka tukope kwenye wataalamu wa vitesti tyubu?
Kiukweli inasikitisha na kutua huruma kwa aina ya viongozi tulionao, umekua mwendo wa fadhila tuuuuuuu, kila aliyemsadia anatafutiwa pa kuwekwa. Tutaona mengi awamu hii
Tunaheshimu haki yako ya kutoa maoni kwa mujibu wa sheria na katiba lakini tunayapinga mawazo yako mfu.Wataalamu tunao kwenye nyanja ya Banking hakuna haja ya wanasayansi wa kemia.Wakati wa Nyerere iliwezekana kwasababu alikua hamna wasomi wengi lakini leo mkuu tunao.Investment bank ni bank inayoshughulika na investment yoyote.UKiwa na Knowledge ya investment kwenye area yoyote waweza ongoza.Mfano huyo ni profesa wa chemistry.Akitaka kuanzisha kiwanda cha madawa.Unadhani COSTING hakusoma??? Unadhani mambo ya project Appriasal ya kiwanda cha madawa hakusoma? Unadhani kufanya mahesabu ya return to investments ya kiwanda cha madawa hakusoma?
Kila fani inafundisha hayo mambo jamani.Usome engineering utafundishwa hiyo knowledge anayo.msifanye kama mambo ya investments wanayajua fani fulani tu sio kweli.Ndio maana investor akileta proposal ya investment ya kiwanda cha madawa ukampelekea mtu ambaye kasoma tu mambo ya investments lakini sio mkemia ataifanyia evaluation based on KNOWLEGGE ya investment aliyopatia area ingine iwe finance,or whatever.Na yeye akikaa hapo hayo wala hayatampa shida.Na ana technical people chini ujue wa kumsaidia pia kuwa wakileteta kitu anachanganya na zake kupata kitu halisia.