hongera nyani ngabu.......

hongera nyani ngabu.......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Kwa kuvuka salama 2012.Ukome sasa kutembea peku peku,shukuru Mungu amekunusuru phina ni hechaivi negative and so is her current bf the great billionare!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuvuka salama 2012.Ukome sasa kutembea peku peku,shukuru Mungu amekunusuru phina ni hechaivi negative and so is her current bf the great billionare!
Mtani una bahati, nilikuwa tayari nishainyaka hiyo ulioi-edit...nikadhani huyu mtani keshakung'uta Lubisi nini!.
 
Ama kweli kumbe ile kujitolea kwangu kuwapatanisha ilisaidia eeh! Hongereni Bishanga na Nyani Ngabu! HAPPY NEW YEAR 2013.
 
Last edited by a moderator:
Nyie bwana! Sasa mnamharibia NN wa watu na alishakuwa termed the hottest guy in jf! Mambo ya hiv status hayaruhusiwi kujadilika hadharani.
 
Hongera nyani ngabu kwa kufika 2013 live bila chenga, ila ubadilishe mitambo yako ya analog
 
Nyie bwana! Sasa mnamharibia NN wa watu na alishakuwa termed the hottest guy in jf! Mambo ya hiv status hayaruhusiwi kujadilika hadharani.
eti eh?
Namshangaa!
 
Kha! Jamaa anapiga sana chukuchuku!
 
Back
Top Bottom