Hongera Mtoto wa Rafiki yangu kwa kuchaguluwa kuwa monita darasa la nne B

a3623358cddd2e16c3dcdef7060493ff.jpg
 
kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
 
kwa kweli sisi ndo watanzania, habari za umonita unaleta huku mamilioni ya watu wanakuja kutafuta habari za msingi ila daaaah unaleta za umonita. uhuru ukizidi unakuwa upumbavuu
Unaleta povu while Jukwaa ni la jokes/utani...
Kama unataka habari za msingi nenda majukwaa husika utazipata
 
Back
Top Bottom