Uliponianzishia Thread kama hivi ( ya huyu ) Majuha ( Fools ) haraka sana walikushambulia kuwa hii ID yako ni yangu ( yaani ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) na kwamba Nina IDs Milioni hapa JamiiForums.
Mbona hapa kwa
Mshana Jr hujashambuliwa nao na hawasemi kuwa Wewe ni Yeye Mshana Jr na kwamba Kajianzishia Thread ili kutafuta Sifa na Umaarufu?
Haya akina
OKW BOBAN SUNZU na Wenzako mbona hamjitokezi katika Uzi huu na kusema kuwa huyu Bundakwetu ni Mshana Jr ila Kwangu GENTAMYCINE upesi sana mliibuka kusema hilo?
Wapuuzi wakubwa nyie mtaalaanika.