Hongera Mohammed Said

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Aug 20, 2017
4,030
7,070
Hongera babu Mohammed Said
42e291fb52f437a944ab9422a5b1156e.jpg

invest what you are willing to lose
 
Huwa siachi kusoma threads zake. Ni zaidi ya kuwa na busara na hekima lakini pia ni pale anapoweza kujibu bila kugadhibika au kuchukia maswali au majibu/ maoni yenye kukera na kuchukizwa kwake
 
Kila MTU lazima atetee upande wake maana ndipo anapoona ni sahihi

Just like mkuu Wa kaya Kwa bashite wake

invest what you are willing to lose
We binti nimekushusha vyeo sasa

Uandike kitabu afu uegemee upande wako icho kitabu au risala ya ukoo!

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
We binti nimekushusha vyeo sasa

Uandike kitabu afu uegemee upande wako icho kitabu au risala ya ukoo!

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kwenye hicho kitabu sijaona pahala alipoegemea katika dini yake

Kaeleza maisha ya abdulwahid

invest what you are willing to lose
 
Huwa siachi kusoma threads zake. Ni zaidi ya kuwa na busara na hekima lakini pia ni pale anapoweza kujibu bila kugadhibika au kuchukia maswali au majibu/ maoni yenye kukera na kuchukizwa kwake
Tumuunge mkono Kwa kununua nakala ya kitabu chake

Hicho kitabu aliyeniletea katoka nacho uingereza, nimepata aibu mimi niliyenaye hapa tz sina

invest what you are willing to lose
 
Kwenye hicho kitabu sijaona pahala alipoegemea katika dini yake

Kaeleza maisha ya abdulwahid

invest what you are willing to lose
Aaaah ana mada zake umu zipo biases sana hata mzee Sykes kamuelezea

Mzee Mohammad anaakili nying sana tatizo udini unamsumbua

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Aaaah ana mada zake umu zipo biases sana hata mzee Sykes kamuelezea

Mzee Mohammad anaakili nying sana tatizo udini unamsumbua

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hapo nimekuelewa, nilidhani unamaanisha kwenye kitabu hiki

invest what you are willing to lose
 
Kila MTU lazima atetee upande wake maana ndipo anapoona ni sahihi

Just like mkuu Wa kaya Kwa bashite wake

invest what you are willing to lose
Kweli wewe bado ni mtoto mdogo, hicho kitabu siyo cha kazi ya kifasihi, ni historia, ni kitabu kinachozungumzia mapambano ya Mtanganyika kudai uhuru ambao Mzee wetu anatuhumiwa kuandika HISTOHISIA na siyo HISTORIA.
 
Mkuu hicho kitabu hakina udini

Hapo ulipoweka red sikuwa namjibu Kwa kitabu hiki la hasha, nimemjibu nje ya kitabu hicho

invest what you are willing to lose
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom