Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Leo katika kipindi cha maswali na majibu kwa upande wa wizara ya ujenzi alimuuliza waziri swali na nyongeza kuhusu kusimama kwa makandarasi wanaojenga barabara za kuunganisha Tabora na mikoa mingine kwa kiwango cha lami.
Nilimuona akiwa na uchungu mno lakini jibu lililotoka kwa waziri husika kama kawaida ya mkoa wa Tabora majibu ya matatizo yake huwa ni siasa zaidi na nadhani hata mbunge wake haoni sababu ya kuutetea.