Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,836
- 7,384
Yes, ni wa "Mkoani"Huyo siyo mwanaume wa Dar, ni wa chalinze
Yes, ni wa "Mkoani"Huyo siyo mwanaume wa Dar, ni wa chalinze
Mungu akikujalia kupata familia (kama bado hujapata) egelezea hapo kwa Rizimoja malezi bora kwa watoto wa kikeNipoo
Yes, ni wa "Mkoani"
Nshakuambiaga usinitag kwenye mambo ya kisengerema. Kwanini hupendi kunisikia lakini?
Nilikutagi makusudi maana niliona reaction yako kwenye ule uzi wa Dr. Mauki kama sijakosea alivyokuwa anamchana binti yake nywele bafuni. hahahahahahahahaahahNshakuambiaga usinitag kwenye mambo ya kisengerema. Kwanini hupendi kunisikia lakini?
Mmmm! Mkumbushe mazoezi n mhimu, presha ipo.
hahahaahahhahah nakukumbuka kwenye huu uzi ulivyokuwa mbogo hahahahaAcha ujinga bhana. Baba ana mambo makubwa ya kufanya sio huo u-Amba Ruti. Kmamae!
Kweli kabisa (wahali)This is so beautiful walahi
Picha ya Dr. Mauki na binti yake imekuwa na mjadala mkubwa FB - JamiiForumsMmmm! Mkumbushe mazoezi n mhimu, presha ipo.
Mbona unakua mkali kama nyau mwenye nyama mdomonNshakuambiaga usinitag kwenye mambo ya kisengerema. Kwanini hupendi kunisikia lakini?
Labda atakuwa amebanana na shughuli za wapiga kura wake.Hongera Rits ingawa umepotea jukwaani. you are a real dad.
Nakuhaidi nitazingatia ushauri wako.. tena natamani mtoto wa kike sana mshenga wanguMungu akikujalia kupata familia (kama bado hujapata) egelezea hapo kwa Rizimoja malezi bora kwa watoto wa kike
Nakuhaidi nitazingatia ushauri wako.. tena natamani mtoto wa kike sana mshenga wangu