Hongera Mh.William Vangimembe Lukuvi

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Nikiwa kama mdau wa siasa za Iringa,naomba nichukue nafasi hii kumpongeza Mh.Lukuvi kwa juhudi zote anazozifanya katika Bunge la JMT...Akiwa kama Mnadhimu kwa upande wa Serikali,ameonyesha kuimudu vyema sana nafasi hiyo,amecontrol jazba na nidhamu ya wabunge wa upande mwingine,ameonyesha weledi mkubwa wa hekima na busara akitofautiana na mnadhimu wa upande wa pili
Kama umelifuatilia Bunge utakubaliana na mimi kuwa huyu Mh. ameonyesha kujua sana kanuni za bunge,kujenga hoja na kujibu miongozo na hoja ya wabunge wanaokurupuka...hakika Vangimembe unawakilisha...bila unadhimu wako Bunge lingetawaliwa na wahuni wanataka kumtukana Rais hata billa sababu...
Kwa wanaofuatilia siasa za Iringa Jimbo la MH.LUKUVI haliwahi kuguswa na upinzani sbb ISIMANI watu wanaipenda CCM na CCM imewafanyia mambo mengi sana,hata DR KAPWANI alipojaribu kugombea kwa tiketi ya CHADEMA allishia kukimbia dakika za mwisho mana wana ISIMAN walimwambia hana chake na CHADEMA yake,wao wako na LUKUVI toka 1995 na wameahidi tena kumpa 2015...
Nenda Pawaga,Idodi,Lwang'a,Izazi mpaka Migoli..huku kote ni maendeleo ya CCM na MH.LUKUVI..Ameleta maji na sasa barabara inajengwa kwa kiwango cha lami toka Iringa-Lwang'a-Izazi-Migoli hadi Dodoma...Siasa safi na maendeleo aliyoleta Mh.LUKUVI yamefanya CHADEMA wasikanyaga kabisa ktk Jimbo la ISIMAN mana hakuna watalaosema,ndio maana ktk mkoa wa Iringa ndo Jimbo pekee ambalo si Mbowe wala Padre Slaa aliwahi kukanyaga,mana wanajua hawana chao,hata pale Iringa mjini ni vile Mama Mbega hakuwa chaguo lao..wao walimtaka Mwakalebela..2015 Mchungaji Msigwa atarudi kwenye mradi wake wa kanisa,wana Iringa hawahitaji tena siasa za maandamano bila maendeleo.
Jimbo la Isimani litaendelea kuwa mikononi mwa CCM sbb ya maendeleo walioletewa na CHAMA CHA MAPINDUZI
..HONGERA SANA WILLIAM VANGIMEMBE MWALUKUVI :yo::second:
 
Vibaraka wa CCM mna kazi kweli. We ndio umeingia shifti ya usiku mnene? Day najua mnalipwa sh. ngapi; Je night ni sh ngapi?
Lukuvi hakushinda kihalali Ismani alimnunua huyo Dr wako. Utaona 2015 ataikimbuka nafasi yake ya ukuu wa mkoa lakini hataipata tena maana hakutakuwa na wakuu wa mikoa.
 
Hakuna cha kuknunuliwa,ni vile muhusika alijua chma chake cha Chadema hakina mashiko na sera...Siongei na wewe usyejua hta jimbo la isimani Lipo wapi?....kwani wewe unalipwa shift ya Night?..mimi sina njaa ya kulipwa chochote:second:
 
Kinyanambo, sina uhakika kama una sympathy na watanzania,aidha umehamisha ushabiki wako kwa timu chelsea na liverpool hapa jukwaani. Nashidwa kujilazimisha kuamini kwamba unaakili timam Kama ulienda shule, bado haijakusaidia, haihitaja hata kuwa darasa la saba kuona kuwa maisha ya watanzania vijijin sasa ni ombaomba,chama kilichotawala zaidi ya miaka 34 bado kinajiimarisha,raisi wa nchi anaomba misaada wakati anafaham kuna orodha ndefu ya makada wake wa chama wameiba fedha nyingi na kuficha kwenye mabenki nje ya nchi,nchi maskini yenye mali nyingi,yenye mito,ardhi safi ya kilimo,madini,maziwa na bahari. CCM hadi sasa is just a protective and survival vehicle of the totally failed government that no more can democratise its rule,that can now use its iron hand to make sure it continues exploit (not rule)....a living dead party. Only one option remains to the mass.....to approot it and all its leaders altogether.
 
Isingekuwa sera nzuri ya CCM hata hiyo lugha ya mkoloni uliyotumia kuweka msisistizo usingeijua..tatizo lenu CHADEMA imewapandikiza chuki kiasi mnaona kama CCM haijafanya lolote...wewe unajua maendeleo ya Jimbo la ISAMAN yaliyoletwa na Ccm au unabisha tu
 
Tsh 7000/= per post............mkuu unapost ngapi kwa ili wiki?....watoto hawalali njaa uongo mbaya mkuu...pale Lumumba ndio kama mama ba baba zenu ya mataka taka yaliomo ndani mle?
 
lukuvi ni mbunge wa Ismani kwa miaka 20 lakn ameshindwa kupeleka maji na umeme isman?
 
Tsh 7000/= per post............mkuu unapost ngapi kwa ili wiki?....watoto hawalali njaa uongo mbaya mkuu...pale Lumumba ndio kama mama ba baba zenu ya mataka taka yaliomo ndani mle?
Kwani wewe pale mtaa wa Ufipa Kinondoni wanakulipa bei gani?mimi sipo kwa kulipwa..mimi nakupa utekelezaji wa sera za Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Iringa
 
Msigwa kaharibu Iringa...hakuna alichofanya,bora hata na Mama Mbega...karibu mkuu karibu mnyalukolo..wangufyeee
Asante mkuu
Tumechoka kuona Iringa mjini inatumika kama sehemu ya majaribio kwa kuwapa uongozi watu ambao wanaona sifa kufanya vurugu na kupiga kelele bungeni kama watoto wadogo badala ya kutetea maslahi ya wananchi.
Kwanza anawachosha wanyalu na mikutano yake isiyokwisha
 
Tena mkuu ni mikutano isiyo na tija kaka....wala hajuna maendeleo,yeye ni kutoa Quotation za kwenye biblia,sisi tunataka maendeleo kama ya Wenzetu wa ISIMAN...NJOO KAKA NJOO TUKUPE JIMBO,MCHUNGAJAI MSIGWA ARUDI KANISANI...TUMEMCHOKA
 
Kweli mkuu,
Huyu anapanda jukwaani kuhubiri badala ya kuwaeleza wanachi anafanya nini bungeni.
Nimeona video yake juzi anasema eti wananchi wa Iringa wanapenda vurugu, huu ni utoto, wananchi wanataka maendeleo na utatuzi wa kero zinazowasumnbua miaka nenda rudi. haya mambo ya vifungu vya biblia kanisani sio jukwaani.
Halafu kuna mchango nilimkabidhi aakmpatie mjane wa Mwangosi sijapata taarifa kama zile hela zilifika
 
Wacha uongo wako. Katika majimbo ya Iringa Isimani ndo jimbo maskini zaidi. Wadanganye walio mbali. Nakuambia kama atacheza fair play hata wana ccm wenyewe wanampiga chini kura za maoni.
 
Back
Top Bottom