"Kila mtoto atakayeanza darasa la kwanza 2017 ataripoti na mche wa mti, ataupanda na kuutunza kwa miaka yote atakayosoma - Waziri Makamba"
View attachment 420974
Ufafanuzi kidogo pleaseMambo ya North Korea hayo
Et kwel bhana,sasa mwsho wa sku watapanda miti paredi na kwenye viwanja vya michezoDuh kweli akili mali ivi mnataka Tanzania nzima iwe msitu
Nchii hii tuna matatizo.Mambo ya North Korea hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh kweli akili mali ivi mnataka Tanzania nzima iwe msitu
Yaani hovyo kweli!Nchii hii tuna matatizo.
kafikiriiii kaona hilo ndilo muhimu.
Pengine angesema kila mwanafunzi aje na laptop ningemuelewa elewa!
Wataoshindwa kupata miche?"Kila mtoto atakayeanza darasa la kwanza 2017 ataripoti na mche wa mti, ataupanda na kuutunza kwa miaka yote atakayosoma - Waziri Makamba"
View attachment 420974
Ha ha ha labda Billicanas.Mbowe kapanda mti wapi??
"Kila mtoto atakayeanza darasa la kwanza 2017 ataripoti na mche wa mti, ataupanda na kuutunza kwa miaka yote atakayosoma - Waziri Makamba"
View attachment 420974
Mkuu usilinganishe kauli za ajabu na hotuba za Nyerere.Mimi ningeshauri elimu ianze ili wanafunzi pamoja na wazazi wapende kupata na kutunza miti. Rais Nyerere alikuwa akitumia hotuba zake kuwaelimisha wananchi kupenda na kupanda miti na watu walitokea kupenda kupanda na kutunza miti. Alizoea kusema: "Kabla ya kukata mti panda mitatu". Binafsi nili'implement' kauli mbiu hii hadi leo hii napanda na kutunza miti si kwa kulazimishwa, bali kwa kupenda mwenyewe kwa sababu nilielimika na pia kilichonisaidia nilisoma shule yenye mchipuo wa kilimo kwa miaka 6 na hadi sasa elimu ya kilimo na mazingira iko kwenye damu yangu. Bado naandaa mazingira ya sehemu nilipohamia na nataka uwe mfano kwa Watanzania wenzangu kujifunza kupenda na kutunza mazingira.