mtz daima
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,561
- 579
Loooh, agizo hili linahitaji ufafanuzi. Je, kwa shule za mijini mfano Uhuru Mchanganyiko, Bunge, Olympio etc ambazo hazina maeneo ya wazi ndani ya uzio wake na zina wanafunzi zaidi ya 1,000 hiyo miche 1,000 wataipanda wapi??? Au kuna mtu ana mradi wa kuanza kuuza miche ya miti na analenga kuuza miti bila kujali matokeo bayana.
Hii kauri inanikumbusha mambo ya maagizo ya kufunga speed governor, dawa ya pancha ya OKO etc nayo tunahisi ilikuwa ni miradi ya watu, supply ilipouzwa yote tu na usimamizi wa maagizo ukafifia.
Acheni kelele suala ni kila mtoto apande mti moja autunze na ajivunie mti wake, anaweza kupanda kwao, maeneo ya wazi au kadiri atakavyoelekezwa baada ya inventory kufanyika