HONGERA Mbeya Highlands FM

HONGERA Mbeya Highlands FM

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,408
Reaction score
14,113
Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa.

Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya na mikoa jirani.

Nikiwa natoka Mbeya nawapongeza sana Mbeya Highlands FM kwa kuanza kuonyesha mafanikio kitaifa na kikanda.

NB
Sikusikia tuzo yoyote kwa redio mahiri za siku nyingi kama Clouds,RFA, Radio One.
 
Naona redio za mitaani na vichochoroni zikitajwa. Nani anaijua highlands fm? Redio za mikoani wanazijua wa huko, sie wengine tunajua redio za kitaifa tu
 
Naona redio za mitaani na vichochoroni zikitajwa. Nani anaijua highlands fm? Redio za mikoani wanazijua wa huko, sie wengine tunajua redio za kitaifa tu
Ndio ujue hizo redio za kitaifa unazosikiliza ni za mipasho tu, content sifuri.
 
Naona redio za mitaani na vichochoroni zikitajwa. Nani anaijua highlands fm? Redio za mikoani wanazijua wa huko, sie wengine tunajua redio za kitaifa tu
Kila mtu apate. Jimboni kwa Mhe Dr Spika Mkuu
 
Tuzo zimeaganyika kimkakati kwenye majimbo ya Uchaguzi ya watu Wazito 1. Zanzibar,
2. Ruangwa,
3. Mbeya Mjini,
 
Back
Top Bottom