Hongera Mama Tibaijuka kwa kutufariji wana UKAWA

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
728
Jana nimemuona mama Anna Tibaijuka kwenye msiba wa diwani wa CUF aliyeuawa kikatili huko Kimwani jimbo la Muleba kusini.
Pamoja na kutokukubaliana na wewe kiitikadi lakini napongeza kitendo chako cha kuudhuria msibani na kulaani mauaji ya namna hii tofauti na wana CCM wengine
HONGERA PROFESSOR.
 
Mama Tibaijuka nafikiri ni Mbunge wa wote huko Muleba. Hivyo, anatakiwa kutozingatia itikadi wakati anatumikia wananchi wa jimbo lake.
 
Back
Top Bottom