Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Tunu Pinda ukimtaka nenda kanisani MBURAHATI.Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa
Huyu Mama Salma single handedly ameweza kufanya mengi sana kwa kif[indi kifupi yaani huyu mama naona yuko bize kuliko yule mke wa rais wa visiwa vya Unguja na Pemba
kwa hili WAMA hongereni na kusema ukweli ile shule aliyosaidia kujenga mama Salma kule Nyamisati ni mfano wa kuigwa...huyu mama hapumziki..kila kukicha mara kafungua shule hii mara yuko na jamaa wa SACCOS huku na kule al muradi she just reminds me of EVA PERON hajafika level ile lakini ndiko anakoelekea
I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...
Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa
Huyu Mama Salma single handedly ameweza kufanya mengi sana kwa kif[indi kifupi yaani huyu mama naona yuko bize kuliko yule mke wa rais wa visiwa vya Unguja na Pemba
kwa hili WAMA hongereni na kusema ukweli ile shule aliyosaidia kujenga mama Salma kule Nyamisati ni mfano wa kuigwa...huyu mama hapumziki..kila kukicha mara kafungua shule hii mara yuko na jamaa wa SACCOS huku na kule al muradi she just reminds me of EVA PERON hajafika level ile lakini ndiko anakoelekea
I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Huyu mama anachapakazi kuliko mawaziri kumi kwenye serikali yako..sidhani kama katiba inakataza Rais kumpa kazi mkewe kama ana qualify
Mama Salma alikuwa na option ya kukaa tuu na kusaini mikataba ya wizi pale Dar lakini wala mama wa watu yeye kila kukicha anachakarika juani left and right na kutafuta namna ya kuwaendeleza wananchi...i take it Mama Salma is more intouch na wanachi wa kawaida kuliko mawaziri wengi tuuu
Mkewe Pinda yuko wapi jamani? Mkewe Karume yuko wapi? Mkewe Freeman yuko wapi jamani?
well done Mama Salma na mwendo mdundo...yule mwingine wala asikusumbue mwanamke kuchakarika bibi..kwani sisi wanachi tushakukubali na hilo ndilo muhimu
what exactly are you trying to tell us,kwani hao previous first ladies hawakuwa na advisers etc etc mbona we hardly saw them.Even president OBAMA has got people behind the scenes who make him tickApewe hongera ila ukweli uko pale pale, siyo mawazo yake ni watu wanapinda usiku kucha hamuwajui na hamutawajua, yeye anatokeza siku wakienda kufungua shule na kuonekana publicly!
Wabongo bwana kwa kusifia wasilojua!!!
G.T,
Mama wa kwanza kule Zanzibar naye yupo "bize" kuiba na kupora viwanja na nyumba za kulelea watoto kuzigeuza baa. Taasisi yake ya ZAYADESA si haba inafaidi misamaha ya kodi hata kama ni miradi binafsi ya "mamaa", dogo hilo!!!!!
Anaitwa Mama Asha Shamsi Nahodha, hajitokezi sana katika kumbi za siasa ni mara chache hushiriki katika shughuli za kijamii. Kwa kuwa humsikii sana katika vyombo vya habari anajichunga na 'umbeya umbeya' yy mwenyewe ni kada wa sekta hiyo hiyo ya habari kwa hiyo anaijuwa vituko vyake.junius
hivi mke wa waziri kiongozi smz anaitwaje vile??? mbona simsikii ktk vyombo vya habari.
WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa
I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...