Hongera Mama Salma Kikwete

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa

Huyu Mama Salma single handedly ameweza kufanya mengi sana kwa kif[indi kifupi yaani huyu mama naona yuko bize kuliko yule mke wa rais wa visiwa vya Unguja na Pemba

kwa hili WAMA hongereni na kusema ukweli ile shule aliyosaidia kujenga mama Salma kule Nyamisati ni mfano wa kuigwa...huyu mama hapumziki..kila kukicha mara kafungua shule hii mara yuko na jamaa wa SACCOS huku na kule al muradi she just reminds me of EVA PERON hajafika level ile lakini ndiko anakoelekea

I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...
 
Tunu Pinda ukimtaka nenda kanisani MBURAHATI.
 
Sasa mbona hamjamtaja Mama Shein?
Otherwise kudos kwa Mama Salma ingawa naye alikuwa mkali sana na kuchapa chapa sana wanafunzi.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Huyu mama anachapakazi kuliko mawaziri kumi kwenye serikali yako..sidhani kama katiba inakataza Rais kumpa kazi mkewe kama ana qualify

Mama Salma alikuwa na option ya kukaa tuu na kusaini mikataba ya wizi pale Dar lakini wala mama wa watu yeye kila kukicha anachakarika juani left and right na kutafuta namna ya kuwaendeleza wananchi...i take it Mama Salma is more intouch na wanachi wa kawaida kuliko mawaziri wengi tuuu

Mkewe Pinda yuko wapi jamani? Mkewe Karume yuko wapi? Mkewe Freeman yuko wapi jamani?

well done Mama Salma na mwendo mdundo...yule mwingine wala asikusumbue mwanamke kuchakarika bibi..kwani sisi wanachi tushakukubali na hilo ndilo muhimu
 
Kazi tayari anayo kwa nini unapendekeza apewe nyingine?

Ili kuwatumiaikia wananchi vema si lazima uwe waziri au ukwae madaraka fulani ya juu serikalini.
 
Kuli tumikia taifa lazima mtu awe kwenye nafasi ya kisiasa? Hata kwa nafasi yake kama "first lady" ana litumikia taifa pia. Na kama mke wa raisi ana nafasi kubwa ya ushawishi kwa mumewe hata kama she is not an official adviser. Kwa nafasi yake aliyo nayo bado anaweza kuli tumikia taifa vyema tu. Behind every man.....
 
Lets face it, alipoanza ma SNOBS wengi walianza ohhh mbona hayuko modern mara ohhh mbona sijui nini lakini as time goes by naona WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa

Huyu Mama Salma single handedly ameweza kufanya mengi sana kwa kif[indi kifupi yaani huyu mama naona yuko bize kuliko yule mke wa rais wa visiwa vya Unguja na Pemba

kwa hili WAMA hongereni na kusema ukweli ile shule aliyosaidia kujenga mama Salma kule Nyamisati ni mfano wa kuigwa...huyu mama hapumziki..kila kukicha mara kafungua shule hii mara yuko na jamaa wa SACCOS huku na kule al muradi she just reminds me of EVA PERON hajafika level ile lakini ndiko anakoelekea

I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Huyu mama anachapakazi kuliko mawaziri kumi kwenye serikali yako..sidhani kama katiba inakataza Rais kumpa kazi mkewe kama ana qualify

Mama Salma alikuwa na option ya kukaa tuu na kusaini mikataba ya wizi pale Dar lakini wala mama wa watu yeye kila kukicha anachakarika juani left and right na kutafuta namna ya kuwaendeleza wananchi...i take it Mama Salma is more intouch na wanachi wa kawaida kuliko mawaziri wengi tuuu

Mkewe Pinda yuko wapi jamani? Mkewe Karume yuko wapi? Mkewe Freeman yuko wapi jamani?

well done Mama Salma na mwendo mdundo...yule mwingine wala asikusumbue mwanamke kuchakarika bibi..kwani sisi wanachi tushakukubali na hilo ndilo muhimu

GT
na wewe kuulizia wake za watu??? hebu tafuta wako ufunge naye ndoa.
anyway huyu mama nimesikia this time anaenda kuhiji HAJJAT MAMA SALMA KIKWETE.
hajjat mama mwema-mke wa dr shein.
hajjat mama shadya karume.
 
lets agree on this,she is living up to the billing,in fact she is more then a minister in all but name,alaafu wardrobe lake halina madoa kabisa
 
Apewe hongera ila ukweli uko pale pale, siyo mawazo yake ni watu wanapinda usiku kucha hamuwajui na hamutawajua, yeye anatokeza siku wakienda kufungua shule na kuonekana publicly!

Wabongo bwana kwa kusifia wasilojua!!!
 
what exactly are you trying to tell us,kwani hao previous first ladies hawakuwa na advisers etc etc mbona we hardly saw them.Even president OBAMA has got people behind the scenes who make him tick
 
G.T,
Mama wa kwanza kule Zanzibar naye yupo "bize" kuiba na kupora viwanja na nyumba za kulelea watoto kuzigeuza baa. Taasisi yake ya ZAYADESA si haba inafaidi misamaha ya kodi hata kama ni miradi binafsi ya "mamaa", dogo hilo!!!!!
 
junius

hivi mke wa waziri kiongozi smz anaitwaje vile??? mbona simsikii ktk vyombo vya habari.
 
Anaitwa Mama Asha Shamsi Nahodha, hajitokezi sana katika kumbi za siasa ni mara chache hushiriki katika shughuli za kijamii. Kwa kuwa humsikii sana katika vyombo vya habari anajichunga na 'umbeya umbeya' yy mwenyewe ni kada wa sekta hiyo hiyo ya habari kwa hiyo anaijuwa vituko vyake.
 
kuwa mke au mume wa public figure sio sababu ya wewe pia kuhangaika ili uonekane. si lazima kutumia mgongo wa mtu japo kuna upande wa chanya katika hayo
 
Kusema kweli huyu mama anafanya kazi sana yaani watz wote tungekuwa tunafanya kazi kama huyu mama atleast tungekuwa 2nd world countries
 
WAMA wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko ile ya mama Mkapa

I cant remember smama Mkapa kufanya kitu kama hichi..sasa hii ni chalenge kwa mkewe Pinda...

GOOOD BUT COMPARE WITH DATAZ PLEASE!!!

......MKEWE PINDA SI MKE WA RAIS ...BALI NI MKE WA WAZIRI MKUU....KAMA MWANAMWEMA ALIVYO MKE WA MAKAMU WA RAIS....HUJAULIZA HUYU..BUT WOTE HAWA WANASAIDIANA NA FIRST LADY KWENYE KUFANYA KAZI ZA JAMII...NAFAHAMU ..MWANAMEMA,MKE WA WAZIRI MKUU ALIYEPITA ..REGINA .,,.NI WAJUMBE WA BODI YA WAMA[sasa kama regina aliingia kwenye nafasi hiyo kwa cheo cha mumewe automatically wanaweza kuamua na TUNU awe mjumbe wa bodi yao..unless otherwise..wajumbe wengine ni meghji,mama nyoni..etc...

...wama Wameweza kupata misaada ya kusaidia kinamama wenye kansa pia ..kutoka marekani na mwaka 2007 pia walipatiwa dola MILIONI 10 [BILIONI 13 TSH] na familia moja tajiri ya japan kwa ajili ya kujenga madarasa...nadhani shule ya nyamisati inaweza kuwa ni mwanzo wa matumizi wa hizo pesa ....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom